Uchaguzi 2020 Je, utabiri wa Mwalimu Nyerere kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM kuanza kutokea katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

Katika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM.
Kuna mazingira fulani ya kisiasa hili linaweza kuwa sawa. Lakini pia kuna mazingira fulani nashawishika kwamba hili bado pia lisiwe msaada sana. Sometimes, tuongeze na za kwetu kwamba mpinzani wa kweli atatoka upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…