Raja Casablanca
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 706
- 368
Kuna mazingira fulani ya kisiasa hili linaweza kuwa sawa. Lakini pia kuna mazingira fulani nashawishika kwamba hili bado pia lisiwe msaada sana. Sometimes, tuongeze na za kwetu kwamba mpinzani wa kweli atatoka upinzaniKatika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM.