Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Alikuwepo huyu dalali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda tunazidisha sifa kwa marehemuKC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Darasa la 1-3 alisomea chini ya Mwembe na wakati huo Walitumia Sanda kushona mashati ya Shule kule Ujiji Kigoma
Ila alipoingia Rais Mwinyi mambo yakabadilika badala ya Sanda wakaanza kuvaa tatroni
Credit: Clouds TV
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Darasa la 1-3 alisomea chini ya Mwembe na wakati huo Walitumia Sanda kushona mashati ya Shule kule Ujiji Kigoma
Ila alipoingia Rais Mwinyi mambo yakabadilika badala ya Sanda wakaanza kuvaa tatroni
Credit: Clouds TV
Darasa la 1-3 😂😂Alikuwepo huyu dalali?
La 1-3 alikuwa anaelewa nini? muongo na mdini haswa Zitto, mbona kwa Mkapa na Magu hakusifia hivyo?Darasa la 1-3 😂😂
Zitto ni mnafiki na kila tukio kwake ni fursa. Pili ana udini sana. Yeye kana alisoma chini ya nwembe sio kila mtoto nchi nzima alisomea chini ya mwembe. Kana hakuvaa shati labda ni umaskini wa babake. Nakumbuka zitto mpaka akiwa chuo kikuu akikuwa anasaidiwa na Mbowe sasa umaskini wa kwao asimtupie Nyerere lawama. Nitaeleza kidogo.Salaam,
Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi...