acha ndoto mbaya. hakuna kitu kama hiko
 
Vile mwendakuzimu amefurahia huu uzi wako kutokea huko kuzimu😁😁😁
 
Reactions: Qwy
Atashangaa aliowaamini wakiwa wamemgeuka kwa kilometer nyingi. Kuanzia samia.
 
Atajutia kufa kizrmbe kw korona
 
Aliyefufuka ni Mmoja tu Yesu Kristo na waliobaki ( tuliobaki ) tukifa hiyo ndiyo ntolee na kusubiria Kiama chetu Motoni kule Mbinguni.
 
Ccm bwana lolongo nyingi, nchi inapiga mark time. Tunataka katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, na utawala was sheria. Eti magufuli akifufuka! Yule mbaguzi aliyesema ukichagua mpinzani hutapata maendeleo! Sadist mkubwa yule.
Samia nae kwenye kampeni akasema hata ukipiga kura kwa wengine ccm itashinda, akimaanisha ccm itatangazwa mshidi hata ikipata 5% na mpinzani akapata 95%. Kuna PhD holder was sayansi asieamini ktk sayansi na kugeukia ushirikina? Mara hakuna Corona, Mara ni vimafua, Mara kabundi nenda Madagascar ukalete dawa ya Corona, and the like. Leo msukule unaota mtu aliekwishaoza kaburini afufuke!
Na huu ujinga wa waTz kufikiria mtu badala ya mifumo na taasisi imara ndio unafanya taifa hili kushindwa kupiga hatua kimaendeleo kilingana na rasilimali tulizonazo na umri miaka 60 kama taifa. Miradi ya maendeleo haitekelezwi ktk kata au Jimbo fulun kwa vile diwani au mbunge sio wa ccm, wakati wale wananchi wanalipa Kodi na wanastahili kuhudumiwa.
 
Atakuwa anachekacheka kwa aibu kubwa!
 
atakasirika sana kuwakuta watu wanaishi na kufanya kazi zao bila nidhamu ya uoga tena
 
Hilo Jambazi halifufuki tena.Limefungiwa kuzimu na minyororo
 
Most of you lost the view point,kuna miccm itakimbia nchi akiwemo mzinguwaji " ..Ukinizingua tutazinguana.." inamaanisha nawewe ni mzinguaji.
Viatu vya Magufuli vitavaliwa na atakaeamua kufuata sheria,magufuli alizifuata sheria za kiutawala na kuachana na mambo ya sheria za kisiasa na wanasiasa,wengi waliokuwa na mambo ya siasa siasa hakuwapa nafasi kwenye serikali yake. Alikuwa na watu straight forward katika utekelezaji sheria za kiutawala. Akikuona unalegalega nakung'oa kwani ndio dawa pekee inayotibu jino.
 
Hakuna hiko kitu,he is dead and buried six feet underground!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…