Mbona unasahau suala la kuhakikisha Mbowe suala la kuweka koti anapigiwa kura Jimboni Hai, linakwisha na haingii Bungeni.
 
Chanzo Cha kifo chake tutaelezwa vizuri 2024-2025 . Na kama walihusika utakuwa mwisho wa CCM kutawala.

mkuu mbuzi wa bwana juma kala maindi ya bwana juma wewe inakuuma nni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Miezi mi5 ishapita ,sio mchezo!! Wapi Ben Saa 8? Wapi Kanguye? Wapi Azory Gwanda?
 
[emoji817][emoji3581]
 
Ninawasalimia nyote, ninakiri pamoja na kwamba bwana yule aliyetangulia mbele za haki tangia Marchi 17, 2021 kama tulivyotangaziwa, kuna mazuri kadhaa ambayo kwayo tutakuwa tumeya mis.

Mojawapo ni kukatikakatika kwa umeme kwa muda mrefu haikuwepo, kasi ya kuwekewa umeme kwenye nyumba zetu, mfumko na kasi ya kupanda bei za bidhaa kama vile: mafuta ya aina zote, vifaa vyote vya ujenzi, tozo za miamala za simu, kupanda kwa bei ya mbolea kwa 100%, gesi ya kupikia majumbani bei juu, kurejea kwa kasi matukio ya ujambazi, nidhamu ya kazi imepungua! Kwa ujumla ni mambo mengi mno sitoweza kuorodhesha yote.

By the way, the late nilikuwa simkubali kwa vitendo vyake vya kikatili kwa waliokuwa wanaepingana naye kama akina TL,Saa nane, na wengi wengineo wengi tu!
 
Ilo jambo binafsi pia lina nishangaza sanaaa tafsiri yake ni kwamba watendaji hao wa shirika la umeme wanapenda kufanya kazi kwa kusimamiwa na kufuatwa fuatwa kama inzi na kinyesi
"Business as usual" imerejea. Wahenga walinena Ukimchekea nyani utavuna mabua. Rais SSH analeta umama mama nchi itamshinda
 
Usisahahau handling ya uviko 19 jamaa alisimamia anachokijua na kukiamini na taifa halikutetereka mpaka pale alipofumba macho
 
"Business as usual" imerejea. Wahenga walinena Ukimchekea nyani utavuna mabua. Rais SSH analeta umama mama nchi itamshinda
Huu ndio ulimbukeni wa baadhi ya watz, yaan tuna mmilikisha SSH nchinas if ni mali yake binafsi, wakati nchi hii ikiporomoka ni watz woteeee

Kwa maana ya kwamba mtumishi akipewa nafasi yumpasa ajitume kwa maendeleo ya MAMA TANZANIA
 
huo ukatili na undava ndio unatakiwa Tanzania mambo yaende....kuna pumbavu ukiziachia achia utavuna mabua....siunaona sasa kila mtu kambale....press kila kukicha na Taifa limeshageuka la kisiasa...
Press ni kinyume na katiba?Taifa hili ni la kisiasa na linaendeshwa kisiasa!Huo ndio ukweli!
 
Magufuli ameacha nini? Ameacha wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, umalaya kwa akina Jokate na Kairuki, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.

Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari.

Nani atanikamata leo nikisema Magufuli alikuwa muuaji? Hakuna kwa vile Rais SSH anakubali kukosolewa kwa misingi ya Sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…