Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Press ni kinyume na katiba?Taifa hili ni la kisiasa na linaendeshwa kisiasa!Huo ndio ukweli!
Yaani hata kama hakina maana,bado ni haki yako ilimradi utakayoongea hayavunji sheria!issue sio kufanya press, issue ni press unayofanya ina manufaa gani kwa wananchi na Taifa?...( unapotaka kuiambia kitu jamii hakikisha kina maslahi mapana kwa jamii husika)..
Mengi ndugu yangu. Kama kukusanya kodi, nidhamu makazini, kutotozwa tozo, kununua ndege cash etcKupigwa risasi Lissu na kupotea Ben Saanane kulisaidia kufanikisha Jambo gani!
Kupigwa risasi kwa Lissu umekuwa wimbo wakati yeye mwenyewe alipokuwa hapa nchini hakulifuatilia. Tueleweje?Kupigwa risasi Lissu na kupotea Ben Saanane kulisaidia kufanikisha Jambo gani!
Hivi unaijua 1.5 trillions mkuu, ni ayo manunuzi ya ndege na mengineyo, ila sio kwamba kapiga zote, ni rahisi sana kulaumuSasa unafanya ukatiki halafu ripoti ya CAG inasema umepiga 1.5 tril unakuwaje na nia njema kwa mfano
Mimi nimkumbuke jiwe[emoji848]Ninawasalimia nyote, ninakiri pamoja na kwamba bwana yule aliyetangulia mbele za haki tangia Marchi 17, 2021 kama tulivyotangaziwa, kuna mazuri kadhaa ambayo kwayo tutakuwa tumeya mis.
Mojawapo ni kukatikakatika kwa umeme kwa muda mrefu haikuwepo, kasi ya kuwekewa umeme kwenye nyumba zetu, mfumko na kasi ya kupanda bei za bidhaa kama vile: mafuta ya aina zote, vifaa vyote vya ujenzi, tozo za miamala za simu, kupanda kwa bei ya mbolea kwa 100%, gesi ya kupikia majumbani bei juu, kurejea kwa kasi matukio ya ujambazi, nidhamu ya kazi imepungua! Kwa ujumla ni mambo mengi mno sitoweza kuorodhesha yote.
By the way, the late nilikuwa simkubali kwa vitendo vyake vya kikatili kwa waliokuwa wanaepingana naye kama akina TL,Saa nane, na wengi wengineo wengi tu!
Alitakiwa afatilie wapi kwa mfano?Kupigwa risasi kwa Lissu umekuws wimbo wakati yeye mwenyewe alipokuwa hapa nchini hakulifuatilia. Tueleweje?
Kupigwa risasi Lissu na kupotea Ben Saanane kulisaidia kufanikisha Jambo gani!
Manunuzi ya ndege yasiwe kwenye vitabu vya serikali? Halafu una maana kapiga ila “sio zote”? Umeamua kumchoma zaidi Magufuli?Hivi unaijua 1.5 trillions mkuu, ni ayo manunuzi ya ndege na mengineyo, ila sio kwamba kapiga zote, ni rahisi sana kulaumu
Kwani ripoti ilisema 1.5T ilinunulia ndege?Hivi unaijua 1.5 trillions mkuu, ni ayo manunuzi ya ndege na mengineyo, ila sio kwamba kapiga zote, ni rahisi sana kulaumu
Mpumbavu ni wewe tena lofa wa kutupwa. Lissu ni nguri wa sheria anajua alipaswa kufanya nini. Kubwabwaja kwake, kuhusu shambulio hilo, nje ya utaratibu wa kisheria ni makusudi ili apate kiki ya kisiasa na umaarufu.Alitakiwa afatilie wapi kwa mfano?
Tanzania ina watu wapumbavu sana ukiwemo wew.
Mkuu kuwa lau na chembe ya utu basi. Vp familia ya Hayati wasome hii?Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu!
View attachment 1897620
Labda wanatuandaa kisaikolojia kua na mgao wa umeme in the futureMimi suala la kukatika katika umeme linanikera sana. Mbona haya mambo hayakuwepo? Tanesco kunani?
Nikisema Tz kuna watu wapumbavu unabisha, sasa hiki ni nin?Mpumbavu ni wewe tena lofa wa kutupwa. Lissu ni nguri wa sheria anajua alipaswa kufanya nini. Kubwabwaja kwake, kuhusu shambulio hilo, nje ya utaratibu wa kisheria ni makusudi ili apate kiki ya kisiasa na umaarufu.
Si serikali ileile ya CCM au unakiri hapa kuwa hampo competent kuendesha nchi?"Business as usual" imerejea. Wahenga walinena Ukimchekea nyani utavuna mabua. Rais SSH analeta umama mama nchi itamshinda
Eti unamwita hayati, vp familia ya Saanane? Emewahi kuifikiria hata siku moja?Mkuu kuwa lau na chembe ya utu basi. Vp familia ya Hayati wasome hii?
Huyu anayefata demokrasia angempa mboye ugaid na kuwafata chadema mpk makanisaniMagufuli ameacha nini? Ameacha wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, umalaya kwa akina Jokate na Kairuki, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.
Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari.
Nani atanikamata leo nikisema Magufuli alikuwa muuaji? Hakuna kwa vile Rais SSH anakubali kukosolewa kwa misingi ya Sheria.