Mimi nilipokuwa naishi mbona umeme ulikuwa unakatika tu kama sikuhizi, so sioni tofauti
 
Press ni kinyume na katiba?Taifa hili ni la kisiasa na linaendeshwa kisiasa!Huo ndio ukweli!

issue sio kufanya press, issue ni press unayofanya ina manufaa gani kwa wananchi na Taifa?...( unapotaka kuiambia kitu jamii hakikisha kina maslahi mapana kwa jamii husika)..
 
issue sio kufanya press, issue ni press unayofanya ina manufaa gani kwa wananchi na Taifa?...( unapotaka kuiambia kitu jamii hakikisha kina maslahi mapana kwa jamii husika)..
Yaani hata kama hakina maana,bado ni haki yako ilimradi utakayoongea hayavunji sheria!
Hata mimi ninaweza kuitisha press na kusema leo naenda kunywa bia,ni haki yangu!
 
Miafrika haina ustaarabu na hicho ndio kitu chenye kutufanya sisi tuwe tofauti na wengine na wala si suala la katiba wala nini ni kukosa kustaarabika tu, Magufuli aliwafanya watu waekeleze mambo majukumu yao kwa kumhofia yeye hadi wakamwita mungu mtu ila sasa watu wapo huru kutekeleza majukumu yao bila kutiwa hofu ila sasa angalia kinachofanyika?
 
Sasa unafanya ukatiki halafu ripoti ya CAG inasema umepiga 1.5 tril unakuwaje na nia njema kwa mfano
Hivi unaijua 1.5 trillions mkuu, ni ayo manunuzi ya ndege na mengineyo, ila sio kwamba kapiga zote, ni rahisi sana kulaumu
 
Mimi nimkumbuke jiwe[emoji848]
You can't be serious
 
Kupigwa risasi Lissu na kupotea Ben Saanane kulisaidia kufanikisha Jambo gani!

Miaka 3 iliyopita nilizozana na jamaa mmoja toka Mauritania (muarabu) baada ya kuniambia kuwa katika uzoefu wake wa kufanya kazi na waafrika wengi (weusi kama mimi) amegundua wana hulka ya kupenda utumwa (subservience) mbele ya mabosi au matajiri au hata watu weupe kuwazidi. Hilo la weupe zaidi nilichukulia kama mzaha (comedy).

Hiyo ilitokea baada ya wenzetu fulani (weusi) kutuzunguka katika madai muhimu sana tuliyowasilisha kwa mwajiri na kupigania kwa muda mrefu. Tukashangaa hoja nzito tulizokuwa tukipanga kwa muda mrefu muajiri anazipata mapema na kuja haraka na majibu detailed ya kuvuta muda na kudai anajua wakorofi ni kina nani na ni wachache. Tulikasirika sana baada ya kugundua masnitch walikuwa ni watu tusiowatarajia kabisa.

Nikisoma mabandiko kibao ya kusifia na kutukuza ukatili na udikteta wa Magufuli na tawala za CCM na kuangalia jinsi Watanzania wanavyochukulia mambo haya kwa ujumla huwa najiuliza huenda yule mMauritania alikuwa na point. Huwa siamini sana hoja za aina hii zisizo na ufafanuzi wa kisayansi lakini miaka inavyoenda nazidi kushawishika kuamini (beyond reason and logic) kuwa huenda ndio maana katika historia tunaona ilikuwa rahisi zaidi kuwazoa waafrika wengi na kuwapeleka utumwani duniani kuliko mataifa mengine.

Ndio maana uarabuni huwa kunawaka moto kila mara udikteta ukikithiri na unyanyasaji kuzidi. Ukija kwetu, kiwango cha subservience na kujikomba kwa mamlaka kama mtindo wa maisha kinatisha.
 
Hivi unaijua 1.5 trillions mkuu, ni ayo manunuzi ya ndege na mengineyo, ila sio kwamba kapiga zote, ni rahisi sana kulaumu
Manunuzi ya ndege yasiwe kwenye vitabu vya serikali? Halafu una maana kapiga ila “sio zote”? Umeamua kumchoma zaidi Magufuli?
 
Alitakiwa afatilie wapi kwa mfano?
Tanzania ina watu wapumbavu sana ukiwemo wew.
Mpumbavu ni wewe tena lofa wa kutupwa. Lissu ni nguri wa sheria anajua alipaswa kufanya nini. Kubwabwaja kwake, kuhusu shambulio hilo, nje ya utaratibu wa kisheria ni makusudi ili apate kiki ya kisiasa na umaarufu.
 
Mpumbavu ni wewe tena lofa wa kutupwa. Lissu ni nguri wa sheria anajua alipaswa kufanya nini. Kubwabwaja kwake, kuhusu shambulio hilo, nje ya utaratibu wa kisheria ni makusudi ili apate kiki ya kisiasa na umaarufu.
Nikisema Tz kuna watu wapumbavu unabisha, sasa hiki ni nin?
 
Huyu anayefata demokrasia angempa mboye ugaid na kuwafata chadema mpk makanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…