Usitukumbushe machungu tuliyopitia Magufuli amewatesa watanzania kuliko marais wote waliowahi kutawala hii nchi.
Hamna shukrani mlizoea maisha ya kubembelezwa kishogashoga hata hao marais wengine maneno yenu yalikuwa ni hayahaya hata mbowe ni magufuli ndito kamuweka ndani.

Wizara ngapi alizinyoosha kabla ya kuwa rais na mkamkubali kwa style hiyohiyo.

Kuishi na mtanzania ni bora ya kuishi na kobra ndani ni wanafiki sana hawavumiliki utafikiri jibu la utosini
 
Sasa hivi huibiwi eti wanakuletea hela hadi mlangoni kwako ,umeolewa kimawazo aise na waliokuoa
 
Huna ushahidi bali chuki tu. Jitahidi kuwa straight katika arguments zako; kunakohitaji credit uwe unatoa na kwenye makosa uwe unakosaa kuliko kuwa biased against Magufuli moyoni mwako siku zote. Hiyo 1.5 trilioni iliyokwapuliwa uliiona wapi kama siyo kuwa ulimeza maneno ya Zitto bila kuwa na ushahidi wowote ? Records zote za CAG zipo mtandaoni, niliwahi kukuambia unionyeshe ripoti inayoonyesha wizi huo hukujibu ila bado umeung'ang'ania tu.
 
Nadhani ni muda wa familia yake kutuomba msamaha kwa niaba yake...

Jamaa lilituona watanzania hamnazo... likawa linajiamulia litakavyo...


Sema haka kadudu ka 19 kakatuonea huruma, kakamtendea miujiza...

Sasa tunapumua
Mwamba aliituliza TZ akafanya maendeleo. Si mbaya mama anaendelea kukiwasha... Mungu si Athumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…