Kwangu kuubwa kuliko yoote ni lile bwawa la umeme, na kuhamia dodoma

Lile bwawa likikamilika hatutasumbuka na umeme kwa at least 5years,

Na kuhamia dodoma, kutasaidia saana kuboresha dar, dar haiwez kufa kwa serikali kuhama, ila serikali kuhama kutaidia purukushani za ajabu ajabu za viongozi kupungua na then kuleta raha darisalama
 

Mwisho wake nini kilitokea? jibu lako, refer Nkurunzinza...
 
Ajabu Mtu anasifiwa kua ni mwindaji bora wakati ameliwa na fisi ndani ya nyumba yake......ujinga tu
 
Kati ya jambo kubwa la uthubutu na akafanikiwa ni kuhamisha serikali na wizara zake zoote kutoka DAR kwenda DODOMA. Kulikuwa na upinzani mkubwa sana kwa watangulizi wake kujaribu na kushindwa. Jambo la pili ni kwa taasisi zenye nguvu zilizomgomea kumpa hela (kwa vile hajipendekezi kwao) kutangaza kuwa TANZANIA si nchi masikini. Big up JPM
 
Magufuli ndiye Rais fisadi Papa bora wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.

 
😁😁😁😁
 
Nchi ngumu Sana hii.yajayo yanafurahisha.
 
Wewe kweli coil za kichwani zimelegea.
Kuihamishia serikali Dodoma kumeleta tija gani zaidi ya hasara?
Kweli wagogo na wasukuma hamjitambui
Ofisi yetu ina eneo kubwa na majengo mengi Dar es salaam sasa watumishi wamehamishwa, yametumika tena mabilioni kujenga jengo jipya Dodoma, huku haya ya Dar yapo matupu.
Huoni kuwa huo ni uwendawazimu?
 
Sasa hivi nchi inaendaenda tu, miradi karibu yote ya mikubwa na ya kimkakati inasuasua tu.
 

Mtaishia tu kusema kuwa alifisidi 1.5Trio, lkn hamtaweza kuonesha alikozificha. Maana ufisadi wake ulikuwa ulishirikisha wananchi. Haukuwa wa ubinafsi kama nyie mnaoiba na kuficha ng'ambo. Yeye aliiba na kutujengea miundo mbinu kila mahali.
Kwa kifupi mtaendelea kusema aliiba, lkn hamtaweza kuonesha wapi alikoficha hizo pesa. That's a funny side of your stupidity.
 
Wapi nimeandika kuwa Magufuli ameiba pesa?Unajua kusoma?Unaelewa hata maana ya ufisadi ni nini?

Kila siku tunawaimbia hapa kuwa kama mtu hujui kitu kaa kimya ili kuficha ujinga wako.Tutaendelea kuwaimbia huu wimbo hadi lini?

Mtaendelea kutumia JF kama uwanja wenu wa kufanya maonyesho ya ujinga wenu hadi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…