eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Wapi nimeandika kuwa Magufuli ameiba pesa?Unajua kusoma?Unaelewa hata maana ya ufisadi ni nini?
Kila siku tunawaimbia hapa kuwa kama mtu hujui kitu kaa kimya ili kuficha ujinga wako.Tutaendelea kuwaimbia huu wimbo hadi lini?
Mtaendelea kutumia JF kama uwanja wenu wa kufanya maonyesho ya ujinga wenu hadi lini?
😛😛😛
Umeishia kunishambulia mimi binafsi, badala ya kushambulia hoja zangu.