Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Niko kinyume kabisa na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bi mkubwa yuko timamu, pamema kabisa 2025 namtumbukizia kura yangu. Mungu atupe uhai.Mwaga sifa kwa bi'mkubwa kashapita uyo
Magufuli nakataaa. Mjamaa alitengeneza chuki baina ya watz. Miladi aliyoifanya na deni alilolitengeneza wala hayaendani. Jiwe ametuachia msala wa madeni makubwaNi viongozi wachache sana ambao wako / walikuwa kwa maslahi ya nchi, Nyerere, sokoine na magafuli
Sahihi kabisaMagufuli nakataaa. Mjamaa alitengeneza chuki baina ya watz. Miladi aliyoifanya na deni alilolitengeneza wala hayaendani. Jiwe ametuachia msala wa madeni makubwa
Unataka kusemaje?Democracy haina ukomo! Democrasia ya Marekani hafanani ata kidogo na ya Uingereza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama anaupiga mwingi sana kuna shetani kamuweka lock up hadi leo aombea aozee hukohukoKuna watu wamezoea kuishi kama watumwa kulingana na walivyolelewa.
Lakini kwa tuliolelewa kwa uhuru hakika tulionja ladha ya ukoloni.
Namwombea mama afute ukoloni, nchi yetu ipate uhuru wake tena.
namkumbuka kwa umeme wa uhakika na maji
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Mtawala aliyeturudisha miaka 50 ya ukoloni! Kiongozi
Mtawala aliyeturudisha kwenye utumwa
Mtawala aliyetufanya tuelewe maana halisi ya udikteta
Mtawala muuaji wa wananchi wake
Mtawala aliyetufundisha kuwa kuwa hakukuwa na sababu ya kupiga kura kuchagua viongozi
Mtawala aliyethibitisha ukondoo wa raia wa nchi ya tanzania.
Angekuwepo saizi angewajibu kama wale wa tetemeko kwamba hajaleta ukame...Inakuwaje wanaJF!
Kuna siku akiwa ziarani Kanda ya ziwa wananchi waliusimamisha msafara wake na kumueleza shida na kero zao. Wengine walisikika wakimlilia baba tuna njaa babaa tusaidie njaa inatuua. Jiwe akawa jibu mnataka nije huko makwenu niwapikie? Fanyeni kazi! Nikikumbukaga hiyo kauli huwa nachekaga sana.
Mwana licha ya kuwa katili sometimes alikuwaga na sense of humor.
Pumzika mwana!
Nakusahihisha kidogo mkuu!! JPM km binadamu wengine alikuwa kichaa kamili!! unadhubutu kumnyonga Binadamu mwenzako! Mwenye Damu, familia, roho, km yako yaani unaua tu! km panya! bila Bismilah??JPM kama binaadamu wengine alikuwa na mapungufu ila He shall forever stand as one of the rocks of ages.R.I.P. comrade and great patriot of recent Tanzania.
Kuna watu watakuja kubisha hapa kama walikuwepo na waoLeo kijiweni katika hali ya kushangaza mzee mmoja ambaye alikuwa akipingana sana na utawala wa hayati. Amedondosha machozi na kumuomba hayati amsamehe.
Mzee huyu ni kada wa kutupwa wa chama ambacho chairman wake yuko ndani sasa. Siku za nyuma hapa kijiweni alikuwa akiponda kila alichofanya hayati ila leo amebadili gia anasema "HAKIKA MTU YULE ALIKUWA MWEMA"
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
"HAKIKA MTU YULE ALIKUWA NA UTHUBUTU KWA BAYA NA JEMA"Leo kijiweni katika hali ya kushangaza mzee mmoja ambaye alikuwa akipingana sana na utawala wa hayati. Amedondosha machozi na kumuomba hayati amsamehe.
Mzee huyu ni kada wa kutupwa wa chama ambacho chairman wake yuko ndani sasa. Siku za nyuma hapa kijiweni alikuwa akiponda kila alichofanya hayati ila leo amebadili gia anasema "HAKIKA MTU YULE ALIKUWA MWEMA"
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Tutamkumbuka sana.Leo kijiweni katika hali ya kushangaza mzee mmoja ambaye alikuwa akipingana sana na utawala wa hayati. Amedondosha machozi na kumuomba hayati amsamehe.
Mzee huyu ni kada wa kutupwa wa chama ambacho chairman wake yuko ndani sasa. Siku za nyuma hapa kijiweni alikuwa akiponda kila alichofanya hayati ila leo amebadili gia anasema "HAKIKA MTU YULE ALIKUWA MWEMA"
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mnalazimisha kweli..Leo kijiweni katika hali ya kushangaza mzee mmoja ambaye alikuwa akipingana sana na utawala wa hayati. Amedondosha machozi na kumuomba hayati amsamehe.
Mzee huyu ni kada wa kutupwa wa chama ambacho chairman wake yuko ndani sasa. Siku za nyuma hapa kijiweni alikuwa akiponda kila alichofanya hayati ila leo amebadili gia anasema "HAKIKA MTU YULE ALIKUWA MWEMA"
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
fly over nenda southafrica nenda kwa hitler yapo mengimiaka 50 nyuma ulikua na fly over hata moja ndugu?