Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kuna watu wamezoea kuishi kama watumwa kulingana na walivyolelewa.

Lakini kwa tuliolelewa kwa uhuru hakika tulionja ladha ya ukoloni.

Namwombea mama afute ukoloni, nchi yetu ipate uhuru wake tena.
Mama anaupiga mwingi sana kuna shetani kamuweka lock up hadi leo aombea aozee hukohuko
 
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
namkumbuka kwa umeme wa uhakika na maji
 
Mtawala aliyeturudisha miaka 50 ya ukoloni! Kiongozi
Mtawala aliyeturudisha kwenye utumwa
Mtawala aliyetufanya tuelewe maana halisi ya udikteta
Mtawala muuaji wa wananchi wake
Mtawala aliyetufundisha kuwa kuwa hakukuwa na sababu ya kupiga kura kuchagua viongozi
Mtawala aliyethibitisha ukondoo wa raia wa nchi ya tanzania.

miaka 50 nyuma ulikua na fly over hata moja ndugu?
 
Inakuwaje wanaJF!

Kuna siku akiwa ziarani Kanda ya ziwa wananchi waliusimamisha msafara wake na kumueleza shida na kero zao. Wengine walisikika wakimlilia baba tuna njaa babaa tusaidie njaa inatuua. Jiwe akawa jibu mnataka nije huko makwenu niwapikie? Fanyeni kazi! Nikikumbukaga hiyo kauli huwa nachekaga sana.

Mwana licha ya kuwa katili sometimes alikuwaga na sense of humor.

Pumzika mwana!
Angekuwepo saizi angewajibu kama wale wa tetemeko kwamba hajaleta ukame...

JK aliwahi kugawa chakula na kununulia wafugaji mifugo kipindi cha ukame yule jamaa sijui alikuwa na roho gani
 
JPM kama binaadamu wengine alikuwa na mapungufu ila He shall forever stand as one of the rocks of ages.R.I.P. comrade and great patriot of recent Tanzania.
Nakusahihisha kidogo mkuu!! JPM km binadamu wengine alikuwa kichaa kamili!! unadhubutu kumnyonga Binadamu mwenzako! Mwenye Damu, familia, roho, km yako yaani unaua tu! km panya! bila Bismilah??

vifo vile afadhali ni vya fedheha sana! kwa Tanzania yetu. hata seetani ana tucheka!! niseme tu hata kuku- (ndege) una muua kwa heshima! ili unywe supu!

Anzoli Gwanda na wenzake walikufa vifo vibaya sana ever!! makaburi yao haya julikani yalipo!! fikiria tu km ni Babako kafanyiwa hayo! halafu mtu aseme muuaji, alikuwa na Mapungufu!!! kweli kabisaa!.... vile vitoto vyao ni Vi- Rais vya kesho vile!

Jiwe kapanda Mbegu ya chuki hatari sana!!kuliko hata Mkoloni! tunapaswa kulaani wote kwa umoja wetu! kumpongeza Muuaji ni kushangilia maumivu ya hawa walio pitia magumu! na bado wana umia!! no compasations! kweli???

kwa uchungu huu!! lazima uchunguzi ufanyike tu! kila kitu kiwekwe wazi!! kwa walio husika! wako wapi? na kwa nini? walitumwa na nani? hata km ni miaka Elfu tatu mbele huko!! hayata pita kamwe! ...mauaji yale ya Ccm! yakiongozwa na JPM, kamwe hayatapita hivi!! hivi !!! hiyo nasema ni sheria ya Historia!! siyo sheria yangu!

Familia ya Jiwe leo inaneemeka kwa Damu za kina Lisu??........! haiwezekani!! Familia ya Lisu inataabika ugenini km hawana kwao kisa??? hivyo vitoto vya hao waliopoteza maisha! ndo vitakuja kuwa kina kagame wa kesho!!

JPM kapanda Mbegu mbaya sana!! ambayo haijawahi pandwa Tanzania! Siyo jambo la kujichekesha chekesha!! wanatakiwa wawepo viongozi imala sana km Nyarusare watakaoomba msamaha wa dhati na Machozi ya Damu!!! ili Tz ibaki salama!!

Rwanda, Burundi nk zilianazga h!vi hivi!!!! wenzako km wewe wanaomboleza!! kilio cha Damu! kabisa! siyo kuwapoteza tu!! maisha yao pia yameharibika ajili ya watu wachache!! wenye uchu na Madaraka!!! watu km wewe unapongeza hayo!!

ulikuwa unafaidika nayo!! sasa iko siku isiyokuwa na tarehe kabla hujafa!! dhambi hii itakutafuna wewe tena wazi wazi!! Shika sana haya maneno yangu utakuja nambia !!!
 
Leo kijiweni katika hali ya kushangaza mzee mmoja ambaye alikuwa akipingana sana na utawala wa hayati. Amedondosha machozi na kumuomba hayati amsamehe.

Mzee huyu ni kada wa kutupwa wa chama ambacho chairman wake yuko ndani sasa. Siku za nyuma hapa kijiweni alikuwa akiponda kila alichofanya hayati ila leo amebadili gia anasema "HAKIKA MTU YULE ALIKUWA MWEMA"
 
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kuna watu watakuja kubisha hapa kama walikuwepo na wao
 
Leo kijiweni katika hali ya kushangaza mzee mmoja ambaye alikuwa akipingana sana na utawala wa hayati. Amedondosha machozi na kumuomba hayati amsamehe.

Mzee huyu ni kada wa kutupwa wa chama ambacho chairman wake yuko ndani sasa. Siku za nyuma hapa kijiweni alikuwa akiponda kila alichofanya hayati ila leo amebadili gia anasema "HAKIKA MTU YULE ALIKUWA MWEMA"

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
"HAKIKA MTU YULE ALIKUWA NA UTHUBUTU KWA BAYA NA JEMA"

Kumwambia alikuwa MWEMA bila ubaya huyo mzee mnafiki
 
Leo kijiweni katika hali ya kushangaza mzee mmoja ambaye alikuwa akipingana sana na utawala wa hayati. Amedondosha machozi na kumuomba hayati amsamehe.

Mzee huyu ni kada wa kutupwa wa chama ambacho chairman wake yuko ndani sasa. Siku za nyuma hapa kijiweni alikuwa akiponda kila alichofanya hayati ila leo amebadili gia anasema "HAKIKA MTU YULE ALIKUWA MWEMA"

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Tutamkumbuka sana.
 
Mnalazimisha kweli..
 
Back
Top Bottom