Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Yale magenge ya Kujimilikisha mabomba ya INCH 12 ya DAWASCO na KUWAUZIA wananchi Maji kwa bei ya kutupwa yamerudi kazini, Jenereta kununulika Demand iko juu. Mpaka mrudi kule kule kwa Mzee Rugemalira wa IPTL na Mwenzie RICHMOND.
Kule Bagamoyo Bandari ya Wachina inaanza kujengwa na hii Bandari ya SALAMA inakuwa ya kushusha samaki wakavu toka Mtwara. Mzee wa Msoga, Rostaaam, Mamviiii na magenge yao wanafidia miaka 6 ya kupoteza mapato yao siyo bure.
January Makamba amejua kutunyooosha huyu mtoto.
 
Ni wazee wa magomeni mapipa, mikumi, mwembechai, makuti, kagera, mburahati, Agentina hadi manzese wanasema ni kama vile hayati Magufuli aliwaonjesha asali kwani sasa maji hayatoki tena.

Wazee hao wamemuomba RC Makalla kulishughulikia tatizo la maji na kulimaliza kama alivyolimaliza tatizo la wamachinga na sasa jiji limekuwa safi kila mtaa.

Maendeleo hayana vyama!
Tusubiri matokeo
 
Ukiacha kukanyaga demokrasia JPM alikuwa anajua nini anafanya. Kwa jinsi mambo yaanavyo enda 2025 jina la JPM litakuwa mtaji mkubwa sana hasa kwa wapinzani.
 
Magufuli lazima akumbukwe utake usitake.

Yaani kwanavyo iona hii model ya mwendo wa maisha yetu Tanzania trust me hata kama hutaki utamkumbuka tu. Hata wanaoiba kuna wakati watamkumbuka.

Naomba huu uzi msifute.
 
Naona umelewa gongo sasa umebakia kurohoja tu.

Unaanzaje kumlazimisha mtu akubaliane na kile unacho ona wewe kina kufaa?
 
Magufuli lazima akumbukwe utake usitake.

Yaani kwanavyo iona hii model ya mwendo wa maisha yetu Tanzania trust me hata kama hutaki utamkumbuka tu. Hata wanaoiba kuna wakati watamkumbuka.

Naomba huu uzi msifute.
Wangefutilia mbali huu upuuzi
 
Ukiacha kukanyaga demokrasia JPM alikuwa anajua nini anafanya. Kwa jinsi mambo yaanavyo enda 2025 jina la JPM litakuwa mtaji mkubwa sana hasa kwa wapinzani.
Kawadanganye wendawazimu wenzako
 
He is My sons's legacy

Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Mkuu kama ulijua aisee....nchi ishaingia shimoni tayari.
 
Back
Top Bottom