Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Nikiwa kama mtu huru ninayo haki ya kikatiba ya kutoa maoni yangu.

Uongozi wa hayati Magufuli haukuwa mzuri na ulikua na ukakasi mwingi.

Nampongeza mama Samia kwa kusimika uongozi mzuri.
Mama anaupiga mwingi

Mitano tena kwa mama, atake asitake
 
Nikiwa kama mtu huru ninayo haki ya kikatiba ya kutoa maoni yangu.

Uongozi wa hayati Magufuli haukuwa mzuri na ulikua na ukakasi mwingi.

Nampongeza mama Samia kwa kusimika uongozi mzuri.
Ameshalala huyo..asiendelee kukusumbua.
Kwa sasa Tuko na Hangaya, mwaga sifa mwanangu!
 
Nikiwa kama mtu huru ninayo haki ya kikatiba ya kutoa maoni yangu.

Uongozi wa hayati Magufuli haukuwa mzuri na ulikua na ukakasi mwingi.

Nampongeza mama Samia kwa kusimika uongozi mzuri.
Ni viongozi wachache sana ambao wako / walikuwa kwa maslahi ya nchi, Nyerere, sokoine na magafuli
 
Tatizo alikuwa mbaguzi sana na hakuwa muongeaji mzuri mbele za watu, ila alijitahidi.
 
Hakika Mama anaupiga mwingi sana na amekuja kipindi tunachomuhitaji,kwa maana huko tulikokua tunaenda Mungu tu anajua, Magu alikua kiongozi wa ovyo sana aliejificha katika kichaka cha wanyonge..tutaelewana tu taratibu
 
Nikiwa kama mtu huru ninayo haki ya kikatiba ya kutoa maoni yangu.

Uongozi wa hayati Magufuli haukuwa mzuri na ulikua na ukakasi mwingi.

Nampongeza mama Samia kwa kusimika uongozi mzuri.
Nenda facebook utawaona watanzania mamilioni waliovutiwa na uongozi wake. Wewe ni mmoja tu huna impact.
 
Back
Top Bottom