😛😛😛

Umeishia kunishambulia mimi binafsi, badala ya kushambulia hoja zangu.
 
😛😛😛

Umeishia kunishambulia mimi binafsi, badala ya kushambulia hoja zangu.
Haujui maana ya ufisadi.Sasa kama hujui maana ya ufisadi unataka nisikuite kuwa ni mjinga kwa kisingizio kuwa nitakuwa nakushambulia wewe binafsi badala ya kushambulia hoja?
 
Namkumbka kwa kuwaongezea mishahara watumishi wa umma...
 
Haujui maana ya ufisadi.Sasa kama hujui maana ya ufisadi unataka nisikuite kuwa ni mjinga kwa kisingizio kuwa nitakuwa nakushambulia wewe binafsi badala ya kushambulia hoja?

Anyways, ngoja nikuache. Kwa sababu nyie ndiyo wale mnaodandia vitu bila kujua maana. Hujui maana ya ufisadi, na hata wakikwambia thibitisha hiyo 1.5trio ilifisidiwa namna gani, utaishia kuruka ruka tu.
 
Ambae hujui ufisadi ni nini ni wewe ambae unadai kuwa ufisadi ni kuiba.This is shame!
 
Kiitikio : MTANIKUMBUKA KWA MAZURI...

Kwani iliwezekana vipi enzi hizo jogoo mmoja tu , mtu unaungiwa umeme ?
Ama iliwezekana vipi bila tozo na mambo yakawa ?
Mbona rozo, makato , mambo kibao na serikali bado inapumulia mipira ngoja ifike bajeti ya 2022/23 ndio uongo na ukweli vitakuwa barazani , sasa hivi wacha watudanganye maana kipaza sauti kipo kwao.
 
Wewe nawe 27,000 imeanzia kwa mama
 
Nyie wajane itawachukua muda sana.
 
Sukuma Gang mtaimba kila aina ya nyimbo mwaka huu
 
... usitusalimie kwa vitu vya ajabu ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…