Hapa kàzituu, kazi iendelee, Mama bado anamuda wakutosha kurekebisha viatu vyake hope atakuwa mzuri.

Ila akiwasikiliza wahuni kaziyake itakuwa na milima milima katika matarajio yake ya kutuletea maendeleo.
 
Mama alishafeli kwenye ukusanyaji wa mapato anabaki kutapatapa mara ashike hili aache lile.
 
Inawezekana magufuli alikuwa mbaya na mbovu sana.lakini huyu jamaa kazi alifanya. Ukweli lazima usemwe hata kama wauma. Ila mimi ni fala la kipogoro.
 
Sio kweli mimi ilinigharimu 480,000 kupata umeme.. Hizo story za 27,000 ni maneno ya wanasiasa
 
JPM alitaka kurudisha UJAMAA na KUJITEGEMEA slogan ambayo haipendwi na MABEBERU
 
Pengo lake kamwe halitozibika.

Hakuwahi kumuaibisha mkuu wa muhimili mwingine na kmnanga hadharani kama alivofanya huyu mzanzibari.

Yule mzee apumzike kwa amani walau aliheshimu mihimili mingine japo kwa unafiki sasa kwa sasa hali ni mbaya sana.

Kwa hali hiyo tusitegemee ukuaji wa demokrasia maana kwanza bungeni hakutakua na mijadala huru, na yenye maslahi ya wananchi hivo bunge ndio limekufa.

Pumzika kwa amani Magufuli ulikua Mtanganyika uliesimamia maslahi ya Tanganyika bila uoga leo Tanganyika inaijenga zanzibar, na gharama watalipa watanganyika.tutakukumbuka daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…