Na spika wa awamu hii atokee huko huko wazee wa legacy tuweze kukenua lau kidogo.
 
Tangia atoke mwinyi madarakani hatukupata kiongozi (RAIS) mzuri nchi hii ovyo ovyo tu.. kila secta ovyo ovyo tu... na wananchi tunaenda ovyo ovyo tu kama wendawazimu... ovyo sana sisi
 
Tangia atoke mwinyi madarakani hatukupata kiongozi (RAIS) mzuri nchi hii ovyo ovyo tu.. kila secta ovyo ovyo tu... na wananchi tunaenda ovyo ovyo tu kama wendawazimu... ovyo sana sisi

Madudu yamejaa kila secta.. japokuwa sijafika zote
 
Nilivyoona kilekikao cha waziri mkuu na wafanyakazi wa wizara ya fedha kuhusu posho waliojilipa nikajisemea mwenyewe jembe angekuwepo pasinge kuwa na kujilipa maposho kwa mamilioni maana wanaujua motowake. Keep on RIP Ngosha..
Wengi akili zitawarudi taratibu.
 
Magufuli alikuwa dikteta uchwara, piga kimya au ukiona unapata makasiriko kachambie vibunzi vya Chato.
 
Mkishapombeka mnaanzisha nyuzi hovyo hovyo tu bila hata kuwa na taarifa sahihi!
Lissu ameongea asubuhi kama Makamu mwenyekiti wa CHADEMA na kaeleza msimamo wa CHADEMA juu ya kilichotokea!
So hapo kwenye hoja ulipotaja CHADEMA umechemka!!!
 
Usihangaike na chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…