Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,809
Wao wanazani Ujenzi unafanywa Kwa matamko, hafu unakuta mtu ni msomi na Digrii zake anakomaa na Waziri badala ya kulaumi taasisi kusika inayosimamia, hata haya mambo ya hati chafu au wizi wa Fedha za umma unakuta watu wanakomaa na Rais, Waziri badala ya kumulika wataalam waliosababishaKuna watu hawajui majukumu ya Raisi, Waziri, taasisi husika(Tanroads) or Mkandarasi...
wanatoa lawama utadhani yy ndo alikua Fundi, Engineer, Supervisor, Site manager, Project manager, Quality manager or Consultant.
Wanahisi kujenga barabara or daraja ni km kufasakafia vyoo vyao vya shimo kwamba kila kitu ni mtu mmoja anafanya.
Kuna haja ya JF kuanza kuchuja members wake, limeibuka wimbi kubwa sana la vilaza, wanakurupuka kunzisha nyuzi zisizokua na kichwa wala miguu kwakua tu wana bundle.
🤣🤣🤣wacha nicheke tuHuyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani
Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Hii inchi ina tatzo kubwa sana la Elimu.Wao wanazani Ujenzi unafanywa Kwa matamko, hafu unakuta mtu ni msomi na Digrii zake anakomaa na Waziri badala ya kulaumi taasisi kusika inayosimamia, hata haya mambo ya hati chafu au wizi wa Fedha za umma unakuta watu wanakomaa na Rais, Waziri badala ya kumulika wataalam waliosababisha
Ukiboko wake uko wapi? Mbona kafa na kamasi za corona?? Sisi tulio hai ndiyo miamba hasa, katufanyia kila Hila kuanzia kututeka, kuua, kunyang'anya fedha zetu lakini bado tunadunda. Yeye huyo aoza kaburini ChatoWanahangaika kuliko kawaida.
Sijui huwa wanatokewa na mzimu wa Magufuli?
Hii ni mara yangu ya kwanza kuona watu wanapigana na kaburi! Mweeeh!!
Yule jamaa ni kiboko! Kwa kweli. Sijui aliwafanya nini hawa majizi!? Manake kwanza hapo nicheke!
Mkuu wewe ni mwamba Sana ,,hakika utaishi milele ulinde dunia.Ukiboko wake uko wapi? Mbona kafa na kamasi za corona?? Sisi tulio hai ndiyo miamba hasa, katufanyia kila Hila kuanzia kututeka, kuua, kunyang'anya fedha zetu lakini bado tunadunda. Yeye huyo aoza kaburini Chato
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wakeMkuu wewe ni mwamba Sana ,,hakika utaishi milele ulinde dunia.
Hongera sn
Na bado,amewapelemba angali yu hai na sasa anawapelemba akiwa kaburini.Huyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani
Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Weka ushahidi wa hayo unayodai mmetendewa na MAGUFULINinajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake
Hicho ndicho kinatufurahisha
Alikuibia uchaguzi uligombea Jimbo gani?Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake
Hicho ndicho kinatufurahisha
Matako wewe na wewe kesho unakufa kwa kuvimbiwa makande.Ukiboko wake uko wapi? Mbona kafa na kamasi za corona?? Sisi tulio hai ndiyo miamba hasa, katufanyia kila Hila kuanzia kututeka, kuua, kunyang'anya fedha zetu lakini bado tunadunda. Yeye huyo aoza kaburini Chato
Hahaaaa, tena makande ya kunde,Matako wewe na wewe kesho unakufa kwa kuvimbiwa makande.
Hawaelewi maana ya legacy. Alishabikiwa na low minds. Na ndio hao hao ambao hawaelewi hata maana ya legacy. Daraja, barabara hata majengo, haviwezi kuwa legacy.Mimi ndo first time kusikia Mtu anaacha urithi wa madaraja Mabovu Aibu kubwa
Watu wenye akili ndogo kama huyu ndio walikuwa mali ya Magufuli. Hawa walilishwa ujinga na uwongo, mpaka wakageuka na kuwa wendawazimu.Mafisadi mmepata chaka lingine la propaganda.
Mbona mama yenu hajajenga hata banda la kuku anazurura tu kwa mabeberu akigawa uroda kwa Peter Greenbird sijui Greenburg!
Lakini hajamfikia Hitler, Stallin, Musollin, Bokasa na Nguema, maana hawa madikteta wenzie walitawala miaka zaidi ya 50 iliyopita lakini wanatajwa kila siku kwa ubaya wao.Wanahangaika kuliko kawaida.
Sijui huwa wanatokewa na mzimu wa Magufuli?
Hii ni mara yangu ya kwanza kuona watu wanapigana na kaburi! Mweeeh!!
Yule jamaa ni kiboko! Kwa kweli. Sijui aliwafanya nini hawa majizi!? Manake kwanza hapo nicheke!
Kijana atakama una Uhuru,not to that extentMafisadi mmepata chaka lingine la propaganda.
Mbona mama yenu hajajenga hata banda la kuku anazurura tu kwa mabeberu akigawa uroda kwa Peter Greenbird sijui Greenburg!
Amekufa kifo cha kitandani? Kama hujui Kaa kimya. Magufuli kuanzia 1992 alikuwa anapumua kwa betri (defibrillator), pili aliukwaa UKIMWI miaka ya mwisho wa 1990s.Alikuibia uchaguzi uligombea Jimbo gani?
Unashangilia mwenzio kufa tena kifo cha kitandani,,
Hivi kifo chako unakijuwa ni cha aina gani?
Alitaka mfe kwa kupigwa risasi akina Nani?
Wacha ushabiki wa sokoni mkuu.
Legacy ya kuua waliompinga ipo motoni huko alipo muda huuHuyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani
Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.