Nyawayikulwaluchagula
Member
- Jun 8, 2017
- 41
- 12
Andika kwa kiswhili kumuenzi mjomba maguThis is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
Sote tumeumia sana, lakini naomba tumwamini mama yetu, ameonyesha njia ya kutuvusha, na kama mifumo yetu itafanya kazi yake ipasavyo, ufisadi utajiondoa wenyeweHe is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
He is My son's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Kwenye namba 3 eneo la mwendokasi hebu jiridhishe, ni mradi wa kuanzia mwaka 2002, Mkapa alihusika kwa kiasi, JK akahusika sana, JPM akaja kuzindua, ndo raha ya viongozi kuachiana madaraka na majukumuThis is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
Kwani nini maana ya mchakato?wembe ni ule ule.kupiga kaZ neno mchakato lisije kujirudia wala cha sijui mchakato mchakato.sisi tupo hapahapa hakkna cha kusafiri nje waala nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za mchawi utazijua tu.Wachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.
Kwa nini mlifurahia kifo cha Baba yetu?
1.nyie mnashirikiana na mabeberu kuihujumu nchi
2.Nyie mliishi kwa matendo mabaya kuihujumu nchi
3.nyie ni wafanyabiashara wakwepa kodi
4.nyie ni nyumbu mithiri ya walibya waliyomuua Gadhafi kwa mikono yao
Nafsi zenu zinawasuta,na lana iwe juu ya vichwa vyenu na watoto wenu.Utafurahiaje kifo cha mwenzako?
Nitafanya sherehe kubwa sana wewe ukifaWachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.
Kwa nini mlifurahia kifo cha Baba yetu?
1.nyie mnashirikiana na mabeberu kuihujumu nchi
2.Nyie mliishi kwa matendo mabaya kuihujumu nchi
3.nyie ni wafanyabiashara wakwepa kodi
4.nyie ni nyumbu mithiri ya walibya waliyomuua Gadhafi kwa mikono yao
Nafsi zenu zinawasuta,na lana iwe juu ya vichwa vyenu na watoto wenu.Utafurahiaje kifo cha mwenzako?
Siyo kigezo bali kwenda msibani ni utamaduni wa Kiafrika. Sasa kama huyu alikuwa Rais na Waziri in the past na Serikali imeweka ratiba inategemea watu wasiende?Wachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.
Kwa nini mlifurahia kifo cha Baba yetu?
1.nyie mnashirikiana na mabeberu kuihujumu nchi
2.Nyie mliishi kwa matendo mabaya kuihujumu nchi
3.nyie ni wafanyabiashara wakwepa kodi
4.nyie ni nyumbu mithiri ya walibya waliyomuua Gadhafi kwa mikono yao
Nafsi zenu zinawasuta,na lana iwe juu ya vichwa vyenu na watoto wenu.Utafurahiaje kifo cha mwenzako?
afadhali hilo shetani limekufa lilikuwa linatuharibia nchi yetu.alijenga chuki kubwa sana miongoni mwa watanzaniaAwamu hii imepandikiza siasa za chuki, wapinzani walionekana ni maadui wakati ni namna tu ya kuwa na mawazo mbadala. Mwazisha uzi ni mmoja ya watu waliopandikizwa chuki na awamu hii
Wewe mataga unadhani nchi hii ni mali ya hao mama ntilie, wamachinga na boda boda pekee? Si ameshaondoka huyo mtetezi wenu?Wachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.
Kwa nini mlifurahia kifo cha Baba yetu?
1.nyie mnashirikiana na mabeberu kuihujumu nchi
2.Nyie mliishi kwa matendo mabaya kuihujumu nchi
3.nyie ni wafanyabiashara wakwepa kodi
4.nyie ni nyumbu mithiri ya walibya waliyomuua Gadhafi kwa mikono yao
Nafsi zenu zinawasuta,na lana iwe juu ya vichwa vyenu na watoto wenu.Utafurahiaje kifo cha mwenzako?
Huku kwetu mbagala sijui n ccm au serikal imeleta basi za kutosha watu waende uwanjan bure kwa ule wing wa watu usikutishe SanaWachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.
Kwa nini mlifurahia kifo cha Baba yetu?
1.nyie mnashirikiana na mabeberu kuihujumu nchi
2.Nyie mliishi kwa matendo mabaya kuihujumu nchi
3.nyie ni wafanyabiashara wakwepa kodi
4.nyie ni nyumbu mithiri ya walibya waliyomuua Gadhafi kwa mikono yao
Nafsi zenu zinawasuta,na lana iwe juu ya vichwa vyenu na watoto wenu.Utafurahiaje kifo cha mwenzako?
Nenda pale taifa ama mitaani kasherekee uone kama police watawahi kukuokoa.Kuna watu wamekamatwa kwa kosa la kusherehekea huu msiba. Kama kungekua hakuna kukamatwa unadhani wangapi wangesherehekea?
Wanatekeleza sera za upinzani!Wachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.