Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Nitamkumbuka Rais Magufuli kwa,misimamo yake hisiyoyumbishwa,ujasiri,uthubutu,maamuzi,kusimamia anachokiamini hata kama kitakuwa na madhara,ukweli na uwazi hata kama utaumiza lakini yeye kauongea au kuusema hata kama utakwaza watu ila yeye umemweka huru kwangu mimi ni hayo na ndiyo niliyompendea sana.
 
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...
Andika kwa kiswhili kumuenzi mjomba magu
 
Kuzuia mpango wa mbegu za GMO. Mbegu hizi zilikuwa zitufikie sisi Watanzania. Ni Mbegu hatari sana kwa afya zetu.
Haya ni yale yanayoonekana, lakini tunaamini amefanya mambo makubwa zaidi ya haya.
Tutakukumbuka daima, Baba yetu JPM.
 
He is My son's legacy

Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Sote tumeumia sana, lakini naomba tumwamini mama yetu, ameonyesha njia ya kutuvusha, na kama mifumo yetu itafanya kazi yake ipasavyo, ufisadi utajiondoa wenyewe
 
He is My son's legacy

Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewah pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.

Itaendelea...
Kwenye namba 3 eneo la mwendokasi hebu jiridhishe, ni mradi wa kuanzia mwaka 2002, Mkapa alihusika kwa kiasi, JK akahusika sana, JPM akaja kuzindua, ndo raha ya viongozi kuachiana madaraka na majukumu
 
Wachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.

Kwa nini mlifurahia kifo cha Baba yetu?
1.nyie mnashirikiana na mabeberu kuihujumu nchi
2.Nyie mliishi kwa matendo mabaya kuihujumu nchi

3.nyie ni wafanyabiashara wakwepa kodi

4.nyie ni nyumbu mithiri ya walibya waliyomuua Gadhafi kwa mikono yao

Nafsi zenu zinawasuta,na lana iwe juu ya vichwa vyenu na watoto wenu.Utafurahiaje kifo cha mwenzako?
 
Akili za mchawi utazijua tu.
Watu bado kwenye msiba hata matanga bado hayajatoka ushaanza kuleta mambo yenu ya UBAGUZI.
 
Wachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.

Kwa nini mlifurahia kifo cha Baba yetu?
1.nyie mnashirikiana na mabeberu kuihujumu nchi
2.Nyie mliishi kwa matendo mabaya kuihujumu nchi

3.nyie ni wafanyabiashara wakwepa kodi

4.nyie ni nyumbu mithiri ya walibya waliyomuua Gadhafi kwa mikono yao

Nafsi zenu zinawasuta,na lana iwe juu ya vichwa vyenu na watoto wenu.Utafurahiaje kifo cha mwenzako?
Nitafanya sherehe kubwa sana wewe ukifa
 
Siyo kigezo bali kwenda msibani ni utamaduni wa Kiafrika. Sasa kama huyu alikuwa Rais na Waziri in the past na Serikali imeweka ratiba inategemea watu wasiende?

Hapa Afrika hata wachawi walioroga ndugu zetu huwa tunawazika ili kuhakikisha kuwa wamekufa kweli na possibly kushiriki kuchimba kaburi la kina kirefu ili asije kurudi.
 
Kuna watu wamekamatwa kwa kosa la kusherehekea huu msiba. Kama kungekua hakuna kukamatwa unadhani wangapi wangesherehekea?
 
Awamu hii imepandikiza siasa za chuki, wapinzani walionekana ni maadui wakati ni namna tu ya kuwa na mawazo mbadala. Mwazisha uzi ni mmoja ya watu waliopandikizwa chuki na awamu hii
afadhali hilo shetani limekufa lilikuwa linatuharibia nchi yetu.alijenga chuki kubwa sana miongoni mwa watanzania
 
magufuli baada ya kuona ametesa na kuua watu wengi akaamua aimarishe ulinzi na kutuma wapelelezi mikoani.haya kiko wapi magufuli.haiwezekani ufanye upumbavu halafu upite hivi hivi
tapatalk_1616154577902.jpeg
 
Ogopa league za mitandaoni...nimesimamishwa humu nje tangu saa 09:57 nahisi humu sitoingia leo
 
Wachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.

Kwa nini mlifurahia kifo cha Baba yetu?
1.nyie mnashirikiana na mabeberu kuihujumu nchi
2.Nyie mliishi kwa matendo mabaya kuihujumu nchi

3.nyie ni wafanyabiashara wakwepa kodi

4.nyie ni nyumbu mithiri ya walibya waliyomuua Gadhafi kwa mikono yao

Nafsi zenu zinawasuta,na lana iwe juu ya vichwa vyenu na watoto wenu.Utafurahiaje kifo cha mwenzako?
Wewe mataga unadhani nchi hii ni mali ya hao mama ntilie, wamachinga na boda boda pekee? Si ameshaondoka huyo mtetezi wenu?

Tutaona kama na huyu mpya atawaendekeza nyinyi wavunjaji wakuu wa sheria. Jitokezeni tu kwa wingi. Msisahau maisha yataendelea kama kawaida baada tu ya huo msiba.
 
Wachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.

Kwa nini mlifurahia kifo cha Baba yetu?
1.nyie mnashirikiana na mabeberu kuihujumu nchi
2.Nyie mliishi kwa matendo mabaya kuihujumu nchi

3.nyie ni wafanyabiashara wakwepa kodi

4.nyie ni nyumbu mithiri ya walibya waliyomuua Gadhafi kwa mikono yao

Nafsi zenu zinawasuta,na lana iwe juu ya vichwa vyenu na watoto wenu.Utafurahiaje kifo cha mwenzako?
Huku kwetu mbagala sijui n ccm au serikal imeleta basi za kutosha watu waende uwanjan bure kwa ule wing wa watu usikutishe Sana
 
Kwani kuonesha hisia zako ni kosa? Mbona kuna walio sherehekea kifo cha Yesu. Mbona kuna waliosherehekea Lissu kupigwa risasi hadi wakamnyima matibabu na kumnyang'anya ubunge
 
Kuna watu wamekamatwa kwa kosa la kusherehekea huu msiba. Kama kungekua hakuna kukamatwa unadhani wangapi wangesherehekea?
Nenda pale taifa ama mitaani kasherekee uone kama police watawahi kukuokoa.
 
Wachache mlianza kutabiri kifo cha Hayati DR J P Magufuli na huku mkifurahi sana .Mliyofurahi muko wa chache sana,ukilinganisha na namna watanzania wanavyolia na kugaragara chini na wengine wakizirai.Nenda hata nje ya nchi utakuta baadhi ya wa Kenya wakibubujikwa na machozi.

Kwa nini mlifurahia kifo cha Baba yetu?
1.nyie mnashirikiana na mabeberu kuihujumu nchi
2.Nyie mliishi kwa matendo mabaya kuihujumu nchi

3.nyie ni wafanyabiashara wakwepa kodi

4.nyie ni nyumbu mithiri ya walibya waliyomuua Gadhafi kwa mikono yao

Nafsi zenu zinawasuta,na lana iwe juu ya vichwa vyenu na watoto wenu.Utafurahiaje kifo cha mwenzako?
Wanatekeleza sera za upinzani!
Wanaangalia Lissu na Mnyika wanasema nini, kisha bila kufikiri wanapokezana kurusha threads!
 
Back
Top Bottom