Magufuli ndie aliyetuletea huyu tena akamuapishia kwake Chato.
 
Bora nilale njaa nikiwa na amani ya moyo sio kuishi roho juu juu enzi za yule dikteta,usitukumbushe machungu ya yule katili tafadhali
 
Bora nilale njaa nikiwa na amani ya moyo sio kuishi roho juu juu enzi za yule dikteta,usitukumbushe machungu ya yule katili tafadhali
Kile kipindi cha mlo mmoja halafu Polepole anajiposti akimwaga viuno na kuyaenzi ma V8

Bora Maza na kauli zake laini zinatia faraja.
 
Ingekuwa JPM yupo hai hadi leo ninauwakika Makamba Mwgulu na Nape wasingekuwa mawaziri.

Gharama za maisha zingekuwa chini na matozo haya ya mwigulu yasingepitishwa.

Kwa taarifa yako hizi tozo ni sababu ya mikopo chefuchefu ya Magufuli.
 
Ingekuwa JPM yupo hai hadi leo ninauwakika Makamba Mwgulu na Nape wasingekuwa mawaziri.

Gharama za maisha zingekuwa chini na matozo haya ya mwigulu yasingepitishwa.
Tena viongozi wangekuwa na adabu kwa wananchi. Na maisha yangekuwa mteremko mno kwa gharama kidogo za maisha.
 
Majivuno,umimi,ukabila,ushamba na kiburi.
 
Jiji la Dodoma na eneo la serikali Mtumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…