Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaumia sema inabidi wajipendekezeSubiri majibu ya shombo toka kwa wafaidika wa Tozo
Kile kipindi cha mlo mmoja halafu Polepole anajiposti akimwaga viuno na kuyaenzi ma V8Bora nilale njaa nikiwa na amani ya moyo sio kuishi roho juu juu enzi za yule dikteta,usitukumbushe machungu ya yule katili tafadhali
Ila maisha yalikuwa maraisi. Kilo ya unga ilikuwa 500. Na mafuta 1500
Sasaivi ndio hakuna hata huo mlo mmojaKile kipindi cha mlo mmoja halafu Polepole anajiposti akimwaga viuno na kuyaenzi ma V8
Bora Maza na kauli zake laini zinatia faraja.
Mimi namshukuru Mungu,Vitumbua viko mezani ila vimepanda bei.Sasaivi ndio hakuna hata huo mlo mmoja
Ingekuwa JPM yupo hai hadi leo ninauwakika Makamba Mwgulu na Nape wasingekuwa mawaziri.
Gharama za maisha zingekuwa chini na matozo haya ya mwigulu yasingepitishwa.
Tena viongozi wangekuwa na adabu kwa wananchi. Na maisha yangekuwa mteremko mno kwa gharama kidogo za maisha.Ingekuwa JPM yupo hai hadi leo ninauwakika Makamba Mwgulu na Nape wasingekuwa mawaziri.
Gharama za maisha zingekuwa chini na matozo haya ya mwigulu yasingepitishwa.
Waoi umesikia mtu kafa njaa,hayo yalikuwa majizi ndio yanalalamika sasaSasaivi ndio hakuna hata huo mlo mmoja
Kusanya ukoo wako mkalime mje kutuuzia unga 500...unadhani wakulima ni punda wa kukurahisishia maisha!!?Ila maisha yalikuwa maraisi. Kilo ya unga ilikuwa 500. Na mafuta 1500
Mbona Mungu sio mjinga!!
🤣🤣🤣Mbona Mungu sio mjinga!!
Majivuno,umimi,ukabila,ushamba na kiburi.View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
View attachment 1734652