Nimeona jina la Lisu hapa nimekumbuka

Hivi ni kweli Lisu alienda kuwatonya wale wazungu waliotimuliwa kwa kujenga barabara chini ya kiwango kuwa wakazikamate ndenge za Tanzania nchini Canada ili walipwe pesa zao?
 
Wewe mwenyewe ynamkumbuka kila ukipumua na kujamba lazima umkumbuke shwaini.
 
Ni kichaa tu ambae anaweza kumkumbuka mtu ambae alikuwa anafurahia roho za watu zikitoka, mtu aliyezurumu hela za rambirambi,
 
jibu hoja acha povu wewe...
mtu aliyewapiga risasi wapinzani wake atakumbukwa na mazuzu kama wewe ? nani alimpiga risasi Tundu lisu, Akwilin?
raisi anayepora watu korosho zao akitumia jeshi letu kwa ghiriba na uongo tumkumkumbe kwa kipi haswa? unatulazimisha kumkumbuka fedhuli?
Eti akumbukwe? alikaa miaka 5 bila kuongezea watu mishahara wala kuapndisha cheo wala madaraja tumkumbuke kwa lipi sisi wapenda haki?
mgao wa umeme haujawahi kuisha Tanzania na haupo kwa sababu samia ni raisi na january ni wazir
KAMFUFUE UZIKWE WEWE SASA, sisi tulishamalizana nae
 
Mi nilikwishamsahau lakini umenikumbusha. Tafadhali siku nyingine lete vitu vya maana humu siyo kutukumbusha marehemu tuliokwishawasahau
 
Mimi sio mnafiki and Always natoaga fact tupu. Huyu Mwendazake hakuna anayemkumbuka hata mmoja.

Watu wavivu wanaoishi kwa kujipendekeza mara zote ndo umlilia huyo Mwendazake...
Kudadeki.. amewang'ania kooni hamlia vikashuka tumboni.

Uzi tu unaonesha jinsi gani kinakuuma kila amapotajwa.

Akumbukwe JPM.. Kataa wahuni walamba asali.

Tuondoeni kwenye giza na migao ya maji tulikuwa tumesahu.
 
Mimi sio mnafiki and Always natoaga fact tupu. Huyu Mwendazake hakuna anayemkumbuka hata mmoja.

Watu wavivu wanaoishi kwa kujipendekeza mara zote ndo umlilia huyo Mwendazake.
Hawa sio Watu ?
Hivi jinsi Maisha yalivyo kwa sasahivi Fursa zinafunguka , vijana tunapambana huku na kule , Nani amkumbuke huyu Jamaa tena.
Hata wewe sababu ndio umemtaja hapa kwa hii sekunde wewe ndio ulikuwa unamkumbuka
Mauaji kupiga watu risasi Nani amkumbuke Lissu antembelea Mavyuma kibao Mwili mzima

Hawa wanaomlilia huyu Jamaa hawajitambui.
Kwahio wapo ?

Hivi wewe jamaa hata unajua unachokiandika ? Sentensi zako zinajipinga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…