Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Nimeona jina la Lisu hapa nimekumbukaMimi sio mnafiki and Always natoaga fact tupu. Huyu Mwendazake hakuna anayemkumbuka hata mmoja.
Watu wavivu wanaoishi kwa kujipendekeza mara zote ndo umlilia huyo Mwendazake.
Hivi jinsi Maisha yalivyo kwa sasahivi Fursa zinafunguka , vijana tunapambana huku na kule , Nani amkumbuke huyu Jamaa tena.
Mauaji kupiga watu risasi Nani amkumbuke Lissu antembelea Mavyuma kibao Mwili mzima
Hawa wanaomlilia huyu Jamaa hawajitambui.
Hivi ni kweli Lisu alienda kuwatonya wale wazungu waliotimuliwa kwa kujenga barabara chini ya kiwango kuwa wakazikamate ndenge za Tanzania nchini Canada ili walipwe pesa zao?