Voicer, cjui wewe unaishi Dunia gani! Na sijui kwa hakika vipaumbele vyako katika maisha.

Wengine sisi tulikuwa tunataka kuwa huru maana tulifungwa hasa .

Sasa tunaweza kuyatafuta haya maisha tukiwa huru. Kipaumbele ni uhuru kwanza.
 
Watu wakiona flyovers na njia za juu wanamkumbuka mwendazake,
Wakipita madaraja kama Tanzanite wanamkumbuka mwendazake,
Wakiona standa kuu ya mabasi pale mbezi luis wanamkumbuka mwendazake,
Wakiona mradi mkubwa sana wa reli wanamkumbuka mwendazake
Wakiona miradi mikibwa sana ya umeme wanamkumbuka mwendazake,
Wakiona adabu ya kazi inavyozorota, watoa huduma mahosptalini wakijawa viburi na rushwa zikizidi wanamkumbuka mwendazake aliyedhibiti.

KIUFUPI: Mwendazake alidiriki kufanya mambo makubwa sana ambayo hakuna raisi alijaribu kufanya
 
Uko nchi gani wewe, hata hivyo, kitendo cha kumleta hapa jukwaani, tayari ni kiashiria tosha cha kumkumbuka, siku nyingine, msomeshe watoto wenu, wasipite njia mlioipitia nyinyi wafoji vyeti
 

Bro acha kupanick, mbona matusi kibao, hakuna mtu anamkumbuka dhalimu kwa ubora, bali kwa mizengwe.
 
Naona vyeti feki mmetengewa fungu lenu
 
Kwa bango hili ni wazi umemkumbuka mwamba. Hizo fursa tushirikishane tafadhali
 
Siwezi kumkumbuka Magufuli kwa mazuri maana alisababisha nchi iendeshwe kama kundi la watumwa hivi ,kwa hivyo hata mazuri aliyoyaanzisha natupa kapuni tu maana hayakuwa yenye nia safi kwetu bali kificho cha nia yake ovu dhidi yetu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Olikifeera lwa nkorogo. Hakuna anayemkumbuka wakati umepandisha uzi wa kumkumbuka? Oli Muhaya anga Mushuti?
 
Maskini wengi wanamkumbuka. Sisi wenye vyeti fake tutaendelea kumchukia yule Jiwe. Alituchinjia baharini na vyeti fake vyetu.
 
Kwanini tusiufunge huu mjadala kama Mungu alivyoufunga?
 
Mbona na Mimi unanisemea mkuu mi namkumbuka sana
 
Poor mind discuss people ,great mind discuss ideas badala ya kudiscuss mambo ovyo yanayoendelea nchini Kwa mfano mfumuko wa bei,ukosefu wa maji na umeme watu mnamdiscuss marehemu hivi watanzania Nani katuloga?
 
Maskini wengi wanamkumbuka. Sisi wenye vyeti fake tutaendelea kumchukia yule Jiwe. Alituchinjia baharini na vyeti fake vyetu.
anachukiwa na almost 98% ya watanzania , ambao wako zaidi ya 65 milioni , hao wenye vyeti feki unaowasema hawakuzidi elfu 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…