anachukiwa na almost 98% ya watanzania , ambao wako zaidi ya 65 milioni , hao wenye vyeti feki unaowasema hawakuzidi elfu 15
Acha takwimu uchwara kila mahali SASA hivi wanamkumbuka magufuli Kwa sababu serikali hii dhaifu imeshindwa kukontrol mfumuko wa bei,hakuna maji na umeme.yaani watanzania SASA hivi wanalia na Hali ya maisha.ni nyie Tu wenye vyeti feki ndo mmeshindwa kumsahau.
 
anachukiwa na almost 98% ya watanzania , ambao wako zaidi ya 65 milioni , hao wenye vyeti feki unaowasema hawakuzidi elfu 15
Unamchukia wewe mkuu, mimi pia ninakuchukia wewe kwa kumchukia mpendwa wangu, kwa kifupi hata fimbo unachezea nikikujua.
 
Kwangu mimi sio mwanachama wa chama chochote ila uongozi wake ufisadi wajanja janja za mjini wengi waliisha korokoroni dili nyingi ziliangukua even though alikuwa mkaksi ila haki ila haki ilikuwa inatendeka alikuwAa anaogopeka akipita wilaya Fulani anasema RC CHANGIA,DC CHANGIA NAYE ANATOA FUNGU LAKE ALIKUWA MTENDAJI MZURI WA SERIKALI SINA CHAMA AND I DON'T LIKE POLITICS BECAUSE IT'S A DIRTY GAME NAMKUMBUKA KWA HAYO TU MUNGU AMREHEMU APUMZIKE KWA AMANI
 
Wanaomkumbuka wapo, mimi ni mmojawao.
 
Kula mahindi ya "KUCHOMA"
 
Kila anayemkumbuka ana lake, mwingine kwa mateso, mwingine kwa upambe na mwingine kwa kummisi kwenye tv na mwingine kwa shibe nk. Mwenye akili kubwa anatafakari na mwenye akili fupi anapambia chochote...
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hawa ni watu walioshindwa kukubali kuwa JPM hatarudi tena hapa duniani, wamesononeka vya kutosha sasa wanamfufua mawazoni mwao.
Ni ukweli tulikuwa tunampenda sana ,na haya mambo yavyoendela humu nchini,ata wale waliokuw hawampendi zamani sasa wanazidi kuongezaka kumpenda.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…