Kuna issue ya ARV fake piaNimeona jina la Lisu hapa nimekumbuka
Hivi ni kweli Lisu alienda kuwatonya wale wazungu waliotimuliwa kwa kujenga barabara chini ya kiwango kuwa wakazikamate ndenge za Tanzania nchini Canada ili walipwe pesa zao?
Magufuli ulaaniwe huko uliko na hutauona ufalme wa Mungu. Utahukumiwa utanyongwa mpaka ufe!Najua tupo awamu ya sita ila kuna matendo yanatia huzuni sana na ya kishetani hususan hili la kuchoma vifaranga vikiwa hai na moto
Magufuli alikua katili sana, na hili niliarifiwa kuwa lilifanywa kwa amri kutoka kwake waliofanya huo ukatili nao wakamatwe hata kama ni sasa
Watu wanaroho ngum jmn. Unakichoma kifaranga kizima kizima ..kinalia mpaka kinakufa .. alaf unajisifia.
Nawaza sana sauti zao za maumivu wakati wa kutekelezwa kwa moto. Hii njia ya kulaaniwa kabisa kwa viumbe hai kufanyiwa ukatili huo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Naomba waliofanya huu ukatili watafutwe nao wakamatwe waburuzwe mahakamani au ikishindikana nao wachomwe kama hao vifaranga wahisi uchungu walokua wanapitia hao vifaranga
Sijawahi kumpenda huyu mwendazake wenu na sitokuja kumpenda alikua katili sana, namshukuru mungu kwa alichotutendea tarehe 17/03 maana hakukua na njia nyingine na bado nina hasira nae hadi leo i wish ningekua malaika wa huko kaburini.....Au basi tu.....View attachment 2427902
Miaka 20 ya uwaziri wake alipatikana na ukatili gani kabla hajautwaa urais?Najua tupo awamu ya sita ila kuna matendo yanatia huzuni sana na ya kishetani hususan hili la kuchoma vifaranga vikiwa hai na moto
Magufuli alikua katili sana, na hili niliarifiwa kuwa lilifanywa kwa amri kutoka kwake waliofanya huo ukatili nao wakamatwe hata kama ni sasa
Watu wanaroho ngum jmn. Unakichoma kifaranga kizima kizima ..kinalia mpaka kinakufa .. alaf unajisifia.
Nawaza sana sauti zao za maumivu wakati wa kutekelezwa kwa moto. Hii njia ya kulaaniwa kabisa kwa viumbe hai kufanyiwa ukatili huo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Naomba waliofanya huu ukatili watafutwe nao wakamatwe waburuzwe mahakamani au ikishindikana nao wachomwe kama hao vifaranga wahisi uchungu walokua wanapitia hao vifaranga
Sijawahi kumpenda huyu mwendazake wenu na sitokuja kumpenda alikua katili sana, namshukuru mungu kwa alichotutendea tarehe 17/03 maana hakukua na njia nyingine na bado nina hasira nae hadi leo i wish ningekua malaika wa huko kaburini.....Au basi tu.....View attachment 2427902
Afu unapochinjaga kuku huwa hauui, Akili zingine bhana [emoji848][emoji16]Najua tupo awamu ya sita ila kuna matendo yanatia huzuni sana na ya kishetani hususan hili la kuchoma vifaranga vikiwa hai na moto
Magufuli alikua katili sana, na hili niliarifiwa kuwa lilifanywa kwa amri kutoka kwake waliofanya huo ukatili nao wakamatwe hata kama ni sasa
Watu wanaroho ngum jmn. Unakichoma kifaranga kizima kizima ..kinalia mpaka kinakufa .. alaf unajisifia.
Nawaza sana sauti zao za maumivu wakati wa kutekelezwa kwa moto. Hii njia ya kulaaniwa kabisa kwa viumbe hai kufanyiwa ukatili huo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Naomba waliofanya huu ukatili watafutwe nao wakamatwe waburuzwe mahakamani au ikishindikana nao wachomwe kama hao vifaranga wahisi uchungu walokua wanapitia hao vifaranga
Sijawahi kumpenda huyu mwendazake wenu na sitokuja kumpenda alikua katili sana, namshukuru mungu kwa alichotutendea tarehe 17/03 maana hakukua na njia nyingine na bado nina hasira nae hadi leo i wish ningekua malaika wa huko kaburini.....Au basi tu.....View attachment 2427902
Katika bara la Afrika Wanaojulikana Viongozi wazuri wanao watetea Wananchi wao walikuwa ni viongozi 5 tu Wa Kwanza Alikuwa Hayati Baba wa Taifa Mwalim Nyerere, Wa pili alikuwa Mzee Nelson Mandela ,Wa Tatu alikuwa ni Kiongozi wa Ghana Kwame Nkurumah, Wa Nne Alikuwa ni Kiongoz wa Libya Kanali Muammar Qaddafi na Wa Tano alikuwa Kiongozi wa Tanzania Doctor John Pombe Magufuli. Na Waliobakia ni Ma-Rais wa nchi tu wanachaguliwa na vyama vyao kuongoza nchi kwa muda malum na muda wao ukimalizika wanaondoka Madarakani wanakuja Ma-Rais wengine Tofauti na Kiongozi wananchi yeye anachaguliwa na Wananchi ili apate kuwaongoza Wananchi wake. Na hata kama akifa bado Kiongozi mzuri huwa anakumbukwa kwa wema wake juu ya Wananchi tofauti na Rais akifa watu hawakawii kumsahau.
View attachment 2440793