Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Alikua anapenda matusi tusi .hatasahaulika...Sema yule mzee bhana😀😀. Alikuwa na vibe sana aisee.
me nilikuwa napenda akiwa anayataja maneno akiwa anamaanisha vingine mfano "mnataka kupanuliwa wapi?" Au "makamu nayeye ni mzuri ndo maana nikamchagua"😀😀
Haushangazi kwa maneno yako...Alifanya vile kufunika uelewa wake mdogo wa masuala. Hakukujua chochote na alikuwa Hana uwezo kabisa. Mpaka anakufa alikuwa anajuta kwa Nini zari lilimuangukia mpaka akawa rais ndo mana hakujua afanye Nini ofisini zaidi ya kula mahindi tu
Mi nadhani aliowachagua ndio walijua kucheza na akili zake... Na ndio waliomuharibia kuanzia ushauri mpk matendo...Basi ile misukule yake ikiona hivyo huwaambii kitu utasikia huyu ndio rais .kwakifupi alijua kucheza na akili za wajinga wengi.
Huu uzi huu🤣🤣🙌Alifanya vile kufunika uelewa wake mdogo wa masuala. Hakukujua chochote na alikuwa Hana uwezo kabisa. Mpaka anakufa alikuwa anajuta kwa Nini zari lilimuangukia mpaka akawa rais ndo mana hakujua afanye Nini ofisini zaidi ya kula mahindi tu
HahahahahaAliwafanyia promo ya bangi yao alipomwambia Profesa Mbarawa avute bangi ya huko ili aongoze wizara vizuri
🤣🤣khaa.nyiee🤣🤣🤣mambo vululu vululuAnachangisha pesa za kujenga msikiti kanisan
Rip Shujaa!Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Alipenda kiki kuliko hata Gigi Money, kujiona kila saa ana trend mtandaoni
Another widow in pain..
Widow original sasa hivi anafuraha ya ajabu, lakini hawa widow (michepuko) kilio chao kila siku JF hadi wametuchosha.Another widow in pain..
Mara kalala juu ya mawe ikulu, sema hivi vituko hawa viongozi watakua wanafanya makusudi, spiningYaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
MAZUZU yalimshangilia [emoji1787][emoji1787] kumbe anatafuta namna ya kuwaibiaYaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Pamoja na kuwa stori ya kijiweni ila ina 100% ya ukweli, kakupa nyavu ukavue kila siku na hakumpa samaki ale ashibe alafu akaombe tena!Alikua kijiweni anagonga gahawa, akatokea nduguye (kwenye ukoo) akamuomba pesa. Magu akamkokota jamaa hadi hardware akamnunulia majembe akamwambia lile shamba la kule chini hua analima nani? Jamaa akamjibu hakuna mtu analima, Magu akamwambia "haya kamata haya majembe ukalime utapata hela" (imagine na lile li sauti lake).
#StoriZaVijiweni
Mbona wakati akiwa waziri hukuyasema haya ? Wewe ulipigwa cheti fake siyo bure.Alifanya vile kufunika uelewa wake mdogo wa masuala. Hakukujua chochote na alikuwa Hana uwezo kabisa. Mpaka anakufa alikuwa anajuta kwa Nini zari lilimuangukia mpaka akawa rais ndo mana hakujua afanye Nini ofisini zaidi ya kula mahindi tu
Umeshawahi ona mtu ana Cheri fake? Zile zilikiwa mbinu tu za kupunguza wafanyakazi serikalini baada ya kuona mambo hayaendiMbona wakati akiwa waziri hukuyasema haya ? Wewe ulipigwa cheti fake siyo bure.
Akili yako haina akili!Wazuri hawafi waliona wivu sana, angekuwa katili kama anavyosemwa asingeweza kuzunguka hivyo
Kwa hiyo hayati Rais mstaafu Mkapa na mstaafu Kikwete hawakuwa na akili kwa kumpa uwaziri karibia miaka ishirini ? Kama hakuwa na uelewa ni vipi aliaminiwa kwenye ngazi ya uwaziri kwa muda huo ? Wewe hapo ulipo kula yako tu ya kubangaiza baada ya kupigwa chini kwa cheti fake ! Na utajuta mpaka unaondoka katika dunia hii.Umeshawahi ona mtu ana Cheri fake? Zile zilikiwa mbinu tu za kupunguza wafanyakazi serikalini baada ya kuona mambo hayaendi
'Cheri' ndio mtaa gani ?Umeshawahi ona mtu ana Cheri fake? Zile zilikiwa mbinu tu za kupunguza wafanyakazi serikalini baada ya kuona mambo hayaendi
Shujaa wa wavivu hasa hasa wavivu wa kufikiri.Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Mungu ampe pumziko jema Shujaa wetuYaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo