Mwamba alijua kuunguruma nchi nzima. Kuna watu wanatamani ila ndo hibyo tena hawana nyota ya JIWE
Tatizo nyota, watetezi wa Magufuli ni sisi commoners, wapinzani wake almost wote ni politics affiliates… connect the dots…
 

Yaani Wewe Kweli Wa Kumkejeri Mzilankende, Kweli Ukifa Huna Chako Wala Thamani. Unasema Swaga Oops Ccm Imepasuka Sasa Hivi

 

Yaani Wewe Kweli Wa Kumkejeri Mzilankende, Kweli Ukifa Huna Chako Wala Thamani. Unasema Swaga Oops Ccm Imepasuka Sasa Hivi

Watu wameshamsahau mkapa, kikwete na Mwinyi wakishuka it will be the same shit, tuje kwa huyo mwamba sasa… the corner stone…
 
Ila bahati nzuri tunajua kuwabananisha kwenye matukio kila linapotajwa jina la JPM shangwe zinazoibuka wanaona aibu wenyewe
Tatizo nyota, watetezi wa Magufuli ni sisi commoners, wapinzani wake almost wote ni politics affiliates… connect the dots…
 
Umeshawahi ona mtu ana Cheri fake? Zile zilikiwa mbinu tu za kupunguza wafanyakazi serikalini baada ya kuona mambo hayaendi
Ila katika majitu majinga wewe ni namba moja.eti hakuna mtu mwenye cheti feki duuh
 
Nyerere alichukia wakabila!, kutengeneza double standard miongoni mwa watanzania, ndiyo likuwa dhambi iliyo kuu zaidi.

Kuishi kwa chuki, kuonea, kunyanyasa, imeandikwa usiue, kunyanganya, kutamani mke wa jirani yako au chochote cha jirani haya yote ni chukizo kwa muumba wetu, imeandikwa na siyo maneno ya kinywa changu cha nyama.
 
Kwa kuweka mtoto wa dada yake kuwa mkurugenzi Kigamboni ambae alikuwa fisadi na kufanikisha kunidhuluma mali zangu na mkuu wake wa wilaya Sara Msafiri kutufukuza Tanzania tarehe 13/3/2020
 
Kwenye ufisadi yule Mwamba alikuwa hatakagi ujinga kabisa na hili hata CHADEMA wanalielewa vizuri.

Escrow hakuna aliyeambiwa arudishe hela kama kwenye EPA lakini mafisadi wa kanda ya ziwa walipanga foleni BoT kuzirejesha wakiongozwa na Ngeleja na Tibaijuka wote kutoka kanda pendwa.

Mwamba alitisha sana.

RIP JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…