Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
He could be a son, neighbor or even an associate, African mindset at its best, this comment is revealing how passionate you’re about sex…Another widow in pain..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He could be a son, neighbor or even an associate, African mindset at its best, this comment is revealing how passionate you’re about sex…Another widow in pain..
Tatizo nyota, watetezi wa Magufuli ni sisi commoners, wapinzani wake almost wote ni politics affiliates… connect the dots…Mwamba alijua kuunguruma nchi nzima. Kuna watu wanatamani ila ndo hibyo tena hawana nyota ya JIWE
Yaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Watu wameshamsahau mkapa, kikwete na Mwinyi wakishuka it will be the same shit, tuje kwa huyo mwamba sasa… the corner stone…Yaani Wewe Kweli Wa Kumkejeri Mzilankende, Kweli Ukifa Huna Chako Wala Thamani. Unasema Swaga Oops Ccm Imepasuka Sasa Hivi
Tatizo nyota, watetezi wa Magufuli ni sisi commoners, wapinzani wake almost wote ni politics affiliates… connect the dots…
Ila katika majitu majinga wewe ni namba moja.eti hakuna mtu mwenye cheti feki duuhUmeshawahi ona mtu ana Cheri fake? Zile zilikiwa mbinu tu za kupunguza wafanyakazi serikalini baada ya kuona mambo hayaendi
Mliokuwa mnakula bure kwa ujanja ujanja aliwanyoosha sasa hivi mnapayuka payuka tu.kwendraaaShujaa wa wavivu hasa hasa wavivu wa kufikiri.
Inasemekana jamaa alikuwa ana watu anawala micundu kwa lazima,ndio hawa wanaume wanafurahi jamaa kufariki,wewe ni mmoja wao??
Uliwahigi kwenda ukakuta Kuna moto?Kwa Imani ya Kikatoliki
Jiwe Kwa Sasa yuko Kuzimu Motoni anatumikia adhabu yake
Kwa kuweka mtoto wa dada yake kuwa mkurugenzi Kigamboni ambae alikuwa fisadi na kufanikisha kunidhuluma mali zangu na mkuu wake wa wilaya Sara Msafiri kutufukuza Tanzania tarehe 13/3/2020View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar