Legacy ya mwendazake imekwisha rasmi toka mikutano ya hadhara ianze na tukio la bawacha ndo kabisa limefuta rasmi

Sasa hivi hamna anayemkumbuka tena kila mtu anamkumbuka kwa mabaya yake

Legacy kwishney na wananchi wameelewa kuwa jiwe alikua dikteta na mwigizaji

Legacy ya yule bwana imekwisha rasmi

Wafuasi wake wachache waliobaki wanatamani hata ardhi ipasuke waingie humo maana wataweka wapi sura zao?Duuuuh!!!!!
 
Kuvunja miguu kwa risasi wanao mpinga kisiasa(mfano Lissu) na kuteka na kuchukia matajiri walio mzidi kipato(mfano MO Dewji na Manji).

Magufuli alikuwa kiongozi wa hovyo hovyo tu
 
Baba magu acha wakutukane,acha wakubaghaze,Acha wakupe kila jina baya, Huwezi kujitetea,na hiki ndio walikuwa wanakitaka, hata watu uliowaamini leo wanaogopa kutaja jina lako,kwa sababu tu watakuongezea sifa...
Kalinde kaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…