Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Vita ya Ushoga inafaa ipigwe vita kwa kila M-Tanzania Kwa hali na mali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akim dis magufuli kuna mawili kuhusu kichwa chake....
Hakuna kitu magu hata mumpambe vip!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Viatu vilikuwa vikubwa mno kwake huo ndio ukweli
Hakika, hii ilikuwa bahati mno na zawadi kwa kizazi hiki
Huyo kaharibu nchi yetu imekuwa masikini wakutupwaR.I.P Dk. Magufuli Mimi GENTAMYCINE nakukumbuka mno na Nilikupenda sana.
Tunamkumbuka magu kwa kutumbua tumbua, Ila majeshini hakutumbua, tunamkumbuka kwa ubaguzi wakutumbua.Utapeli wake
Kalinde kaburiBaba magu acha wakutukane,acha wakubaghaze,Acha wakupe kila jina baya, Huwezi kujitetea,na hiki ndio walikuwa wanakitaka, hata watu uliowaamini leo wanaogopa kutaja jina lako,kwa sababu tu watakuongezea sifa...
Miradi ya world benkWatu wanaokoteza Point za kutafuta ili achafuke ila kila ukipita Ubungo au Tazara kuelekea Airport roho inakusuta. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
akili huna dogo.nihayo tuu.Legacy ya mwendazake imekwisha rasmi toka mikutano ya hadhara ianze na tukio la bawacha ndo kabisa limefuta rasmi...
Inawezekana mbona taifa lingepata ukombozi?Ukatili dhidi ya uninadamu.Maiti yake itapelekwa the Hague(ICC)
Na huyo mwingine ameajiri wangapi? Ameongeza mishahara sh ngapi?Alishindwa kuajiri na kuongeza mishahara kabisa [emoji25][emoji25][emoji25]
Jiwe alikuwa ana kwapua fedha za umma 1.5 trillionNa huyo mwingine ameajiri wangapi? Ameongeza mishahara sh ngapi?