Storm shadow
Senior Member
- Jul 5, 2019
- 167
- 132
Ni mda sasa nnachoona Ni machawa wanakua wengi kupita kawaida na kauli mbiu yao ya "anaupiga mwingi" alaf sielewi Ni kwenye nini. Ni upuuzi wa kiwango cha flyover....ivi... Are they even real people!?Mama tunakuomba uache sasa kuwalipa hawa vijana wako kumchafua magufuli…Tayari wewe ni raisi na utachaguliwa tena 2025 Magufuli ameshafariki na wala hatofufuka kugombea