Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?

Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.

Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .

Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.

View attachment 2549998
Wengine ni hulka zao

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?

Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.

Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .

Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.

View attachment 2549998
Kutokana na hofu kuu huyo bwana ndio alianzisha mambo ya sijui Tanzania ya Magufuli Sasa ni Tanzania ya Samia,Rais ametoa pesa,uchawa.kwa jina la mataga,kujipendekeza na kuabudu watu huku maprofesa wakiweka akili tumboni 😀😀

Hovyo kabisa yule dingi
 
Sioni kama hilo ni tatizo la kiongozi, tatizo ni hao mawaziri walio tayari kufanya lolote kutetea matumbo yao, kwani nani ana hakika kama hao mawaziri wameacha hizo tabia zao?

Kinachotufanya tuone wameacha ni kwasababu huyu aliyepo hataki hayo mambo, lakini kama ikitokea siku akayataka, basi hao wakata viuno wapo tayari.
Umesema vema. Kwa kawaida watu wa chini ya mtawala au wasaidizi hufanya yale ambayo wanaamini mkubwa wao anayataka.

Ukitaka kujua tabia za kiongozi mkuu, tazama tabia za wasaidizi wake. Ukiona polisi ni katili, wanaua raia hovyo, ujue hiyo ndiyo tabia ya Rais ambaye yupo madarakani. Kama Rais siyo katili, siyo muuaji, Polisi wakiua raia, haipiti muda, kuna Polisi watakuwa ndani, na hayo mambo yatakoma mara moja.
 
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri usio na upendeleo wa upande wa kisiasa.
 
Kutokana na hofu kuu huyo bwana ndio alianzisha mambo ya sijui Tanzania ya Magufuli Sasa ni Tanzania ya Samia,Rais ametoa pesa,uchawa.kwa jina la mataga,kujipendekeza na kuabudu watu huku maprofesa wakiweka akili tumboni [emoji3][emoji3]

Hovyo kabisa yule dingi
Sijui ni kwanini aliamua kujitoa akili na kuamua kujishusha kiasi kile.

Lkn nashukuru kwa sasa angalau watu wa kujikomba hadharani wamepungua ingawa bado kuna watu wameamua kujiita CHAWA.
 
Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?

Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.

Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .

Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.

View attachment 2549998
Bado unaweweseka ukimkumbuka mwamba wa Africa? Kiki zenu za kumchafua kumbe Bado unazikumbuka. Jpm HAWEZI chafuliwa na hizi Hila zako pekeakoo.
 
unafiki unalimaliza Taifa la Tanzania

wala sio awamu ya 5 tu hata awamu ya 6 mambo ya kutaka kumfurahisha kiongozi yako pale pale refer tukio la juzi la mweshimiwa dc su mbawangampaka ikapelekea kutumbuliwa
 
Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?

Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.

Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .

Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.

View attachment 2549998
Ujinga mzigo' unadhani stress zitaondokaje bila kuwa na furaha kama hiyo?
 
Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?

Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.

Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .

Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.

View attachment 2549998
Umesahau alipoishia? au maridhiano yanakupa amnesia.
 
Kama huyo kiongozi asingekuwa anapendezwa na hayo yanayo fanyika angewakataza kabisa wasaidizi wake kuyafanya.

Mtoto umleavyo ndiyo akuavyo hivyo huwezi kumtenganisha mteuzi wao na matendo ya hao
Kama hamtaki nendeni Burundi! Lini ulisikia inakemewa? Nyie jadilini uganga wa kienyeji lini ukisikia inakemewa?
 
Hayo ndiyo mapungufu ya viongozi wetu ambayo kwa umoja wetu sisi kama watanzania tunatakiwa kuyakemea.

Binafsi niliwahi kupandisha uzi hapa jf kukemea matamshi na kiburi cha Mwigulu juu ya kujiona yeye ni bora kuliko sisi tulio mchagua.
 
Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?

Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.

Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .

Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.

View attachment 2549998

Waziri mzima anachezaa Kibao kata??!!--- hayo ni matokeo ya uongozi mbovu wa jiwe, alikuwa anaipeleka hii nchi pabaya sana, The coat of presidency was unfit for him.
 
Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?

Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.

Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .

Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.

View attachment 2549998
Mzee hiyo inaitwa Fraha baada ya kazi ,huwezi kupata maisha poa ya viongozi kama wakati wa mzee JPM,wanafanya kwa kujituma na na heshima uku uzalendo mbele hata kama hautaki .
Hawamu hii tumejaziwa majizi tu yanawaza kuiba tu kuhusu uzalendo hayana kabsaa...Inawezekana na ww ni mteule wa hawamu hii.
 
Back
Top Bottom