Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hao hawawezi kumuheshimu mama kwani wanaamini kuwa Jiwe ndiyo alistahili kuliongoza taifa tuuuOmbeni msamaha na muache kuleta manyuzi ya kumtukuza mwendazake na kumlaumu Mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hawawezi kumuheshimu mama kwani wanaamini kuwa Jiwe ndiyo alistahili kuliongoza taifa tuuuOmbeni msamaha na muache kuleta manyuzi ya kumtukuza mwendazake na kumlaumu Mama
Somo limekuingia vema sasa kuwa na adabuyamkini
Sasa hivi unaheshimika na nani wakati mumeo tu anakudharau?Tulidharaulika sana
Ungejua now ndio tunaonekana wadwanzi kuliko kenya.Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.
View attachment 2549998
Unadhani kila mtu ni shoga kama wewe?Sasa hivi unaheshimika na nani wakati mumeo tu anakudharau?
Naona umedandia mwendokasi kwa mbele mwisho wake umevunjika mguuUngejua now ndio tunaonekana wadwanzi kuliko kenya.
Matukio ya kiseee mengi.
Huduma duni za kijamii.
Ushoga, usagaji, vitendo vya kidwanzi vimekithiri.
Madeni ya taifa mengi na hayajulikan yanafanyiwa nini.
Hiii inatuchafua tunazungunziwa vibaya saana
Utakuja na kihoro, na hivi ulikua na vyeti fekiMwamba wa Chato aka Sukuma gang Empire na si mwamba wa Afrika tafadhari.
Sawa mwalingu wangu feki uliyenipa vyeti feki ili nionekane msomi.Utakuja na kihoro, na hivi ulikua na vyeti feki
My wife bhna! Pole sana kwa kipigo alichokupiga jpmUnadhani kila mtu ni shoga kama wewe?
Kwahyo wewe unafurahia kodi zetu wananchi zinavyotumika kulipa watu wa kumsifia mama na kumchafua Magufuli??Ombeni msamaha na muache kuleta manyuzi ya kumtukuza mwendazake na kumlaumu Mama
Maneno gani? Au wapi nimewataja viongozi wa upinzani?Maneno yako yanatuelekeza upo hivyo
Nani anamchafua Magufuri pumbavu.Kwahyo wewe unafurahia kodi zetu wananchi zinavyotumika kulipa watu wa kumsifia mama na kumchafua Magufuli??
Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.
View attachment 2549998
Hivi huyu jamaa alikuwa analewa au kichwa chake kipo tenge tu naturally?Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.
View attachment 2549998
Kweli kabisa.Hivi kuna mahali Magufuli alishawahi kuandika kwamba anataka wateule wake wakate viuno? 🤣
Kama ipo naomba leta ushahidi otherwise we ni fala mmoja. Tabia ya upambe wanayo watanzania wengi tu hata sasa wapambe wapo wanaojiita chawa wa Mama.
Walikuwapo hata enzi za Jakaya, hulka za watu binafsi hazihusiani na kiongozi aliyepo madarakani. Ukiamua kuwa mpambe unakuwa zako mpambe. Ukiamua kukaa kimya unatulia zako na hamna raisi atakusumbua ati kisa humfanyii upambe nuksi.
Inawezekana mwenzangu umenizidi kwa ujinga, unadhani kwa miaka sita bei ya bidhaa zilikuwa zimesimama zinamsubiria yeye? Na kikubwa kinachoshusha bei ya bidhaa ni mafuta siyo umemeWw nikicho
WW mijinga, solution sio kuongeza mshahara ni kuwapunguzia watu matumizi njia bora alioiona ni kujenga bwawa LA umeme uzalishaji ishuke bei maana ghalama za umeme angeshusha kwaiyo viwanda vingepata nishati Kwa bei ndogo vingezalisha Kwa ghalama ndogo ,mshahara ungebaki pale pale ila vitu vingeshuka be.Bwea we uwe na akili
Si wewe unapenda michongo mpaka ukachukua vyeti vya marehem alipambana darasani wewe ukaona shangwe.Sawa mwalingu wangu feki uliyenipa vyeti feki ili nionekane msomi.
Siwezi chukua cheti cha mtu kama Makonda na Musiba rafiki zake mwendazake walivyofanya.Inaonekana asilimia kubwa ya wateuliwa na wapambe wa Magufuri walikuwa ni vyeti feki.Si wewe unapenda michongo mpaka ukachukua vyeti vya marehem alipambana darasani wewe ukaona shangwe.
Huyo kuteuliwa aliona kama mteuzi wake kashuka kutoka kwa MunguHivi huyu jamaa alikuwa analewa au kichwa chake kipo tenge tu naturally?