Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kila alipokuwa anahutubia na kusema kuwa "Nchi hii tumeibiwa sana" aliyekuwa Rais wa Tano wa Tanzania John Pombe Magufuli, alikuwa anamaanisha nchi yetu ya Tanzania imeibiwa sana na wana CCM.

Walioiibia nchi kabla ya Magufuli kuwa Rais walikuwa kwenye Uongozi na nchi hii haijawahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya CCM. Kimantiki ni kwamba Magufuli alikuwa anawasema wana CCM wenzake kwamba wameiibia sana Tanzania.

Inasikitisha sana!!
 
Alitangazia umma kuwa CCM wote ni wezi na ndiyo maana tukaona hadi mapesa ya Plea Bargain yameporwa kikatili na kutoroshewa China.
 
Mbowe alisema Chadema imemfilisi!
Ndiyo imemfilisi kwa kuwa kitendo cha yeye kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ndiyo kilisababisha Billicanas ibomolewa na Byakanwa alivuruge shamba la familia kule Hai. Ila anajua kufilisiwa kwake ni kwa sababu ya yeye kuwa mwenyekiti wa chama kinachopigania haki za watanzania.
 
Kila alipokuwa anahutubia na kusema kuwa "Nchi hii tumeibiwa sana" aliyekuwa Rais wa Tano wa Tanzania John Pombe Magufuli, alikuwa anamaanisha nchi yetu ya Tanzania imeibiwa sana na wana CCM.

Walioiibia nchi kabla ya Magufuli kuwa Rais walikuwa kwenye Uongozi na nchi hii haijawahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya CCM. Kimantiki ni kwamba Magufuli alikuwa anawasema wana CCM wenzake kwamba wameiibia sana Tanzania.

Inasikitisha sana!!
Akina Johnthebaptist
 
Ndiyo imemfilisi kwa kuwa kitendo cha yeye kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ndiyo kilisababisha Billicanas ibomolewa na Byakanwa alivuruge shamba la familia kule Hai. Ila anajua kufilisiwa kwake ni kwa sababu ya yeye kuwa mwenyekiti wa chama kinachopigania haki za watanzania.
NHC ilichukua Jengo lake!
 
Back
Top Bottom