Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mbona mnamtetea mjinga mwenzenu DAB?Si wewe unapenda michongo mpaka ukachukua vyeti vya marehem alipambana darasani wewe ukaona shangwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnamtetea mjinga mwenzenu DAB?Si wewe unapenda michongo mpaka ukachukua vyeti vya marehem alipambana darasani wewe ukaona shangwe.
Asilimia 85Siwezi chukua cheti cha mtu kama Makonda na Musiba rafiki zake mwendazake walivyofanya.Inaonekana asilimia kubwa ya wateuliwa na wapambe wa Magufuri walikuwa ni vyeti feki.
ndio, magufuli mbona alikuwa akinunua wapinzani kwa kodi zetu?Kwahyo wewe unafurahia kodi zetu wananchi zinavyotumika kulipa watu wa kumsifia mama na kumchafua Magufuli??
Asante kwa ufafanuzi mzuri,ubarikiwe sana.Asilimia 85
Ndiyo imemfilisi kwa kuwa kitendo cha yeye kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ndiyo kilisababisha Billicanas ibomolewa na Byakanwa alivuruge shamba la familia kule Hai. Ila anajua kufilisiwa kwake ni kwa sababu ya yeye kuwa mwenyekiti wa chama kinachopigania haki za watanzania.Mbowe alisema Chadema imemfilisi!
Wewe unadhani Lisu na Lema wamekuja kuchukua nini?Alitangazia umma kuwa CCM wote ni wezi na ndiyo maana tukaona hadi mapesa ya Plea Bargain yameporwa kikatili na kutoroshewa China.
Akina JohnthebaptistKila alipokuwa anahutubia na kusema kuwa "Nchi hii tumeibiwa sana" aliyekuwa Rais wa Tano wa Tanzania John Pombe Magufuli, alikuwa anamaanisha nchi yetu ya Tanzania imeibiwa sana na wana CCM.
Walioiibia nchi kabla ya Magufuli kuwa Rais walikuwa kwenye Uongozi na nchi hii haijawahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya CCM. Kimantiki ni kwamba Magufuli alikuwa anawasema wana CCM wenzake kwamba wameiibia sana Tanzania.
Inasikitisha sana!!
Wamekuja kuchukua hela. Furahi sasa!!!Wewe unadhani Lisu na Lema wamekuja kuchukua nini?
Ccm is a disgrace in our country.Alitangazia umma kuwa CCM wote ni wezi na ndiyo maana tukaona hadi mapesa ya Plea Bargain yameporwa kikatili na kutoroshewa China.
NHC ilichukua Jengo lake!Ndiyo imemfilisi kwa kuwa kitendo cha yeye kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ndiyo kilisababisha Billicanas ibomolewa na Byakanwa alivuruge shamba la familia kule Hai. Ila anajua kufilisiwa kwake ni kwa sababu ya yeye kuwa mwenyekiti wa chama kinachopigania haki za watanzania.
Kuna mtu anabisha!!??NHC ilichukua Jengo lake!
Umeonaeeeeeee?Akimo Seleman Jaffo,aisee,mambo yalikuwa pabaya sana,mambo ya TUTAMLAZIMISHA RAIS.
CCM ni laana iliyoshushwa kwa watanzania.Ccm is a disgrace in our country.
Ni wanefeli wa maisha ya watanzania!!!CCM ni laana iliyoshushwa kwa watanzania.
Hii fungulia thread yakeWewe unadhani Lisu na Lema wamekuja kuchukua nini?