Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Ushaambiwa bila serikali 2 hakuna Katiba 😄😄😄

Hutaki hamia Urundi 🤩🤩
Mambo ya serikali 2 au 4 sio issue kwasasa, wazenji ndiyo walikua na nafasi kubwa kwenye hili ila ndiyo walishaingizwa cha kike na zito hawana namna.

Angle inayowahusu mnaijua na inawakera sana Uvccm kwasababu mnajua mtapoteza pakubwa mnoo ndiyo maana enzi za kambale nyie uvccm mlikua mko tayari hata kuua mtu kisa kadai katiba mpya 😂😂😃
 
Sioni kama hilo ni tatizo la kiongozi, tatizo ni hao mawaziri walio tayari kufanya lolote kutetea matumbo yao, kwani nani ana hakika kama hao mawaziri wameacha hizo tabia zao?

Kinachotufanya tuone wameacha ni kwasababu huyu aliyepo hataki hayo mambo, lakini kama ikitokea siku akayataka, basi hao wakata viuno wapo tayari.
Hapo umeji-contradict mwenyewe, umeonyesha dhahiri kwamba mawaziri walijivua utu na kujifanya wendawazimu kwa kuwa aliyewateua ndiyo ilikuwa furaha yake. Alitaka wateule wake na raia wengine wote wasiwe na mawazo yao bali wasikilize, watii na wamfurahishe yeye, hii ya kujitoa ufahamu ilikuwa ni katika kumfurahisha yule zuzu.
 
Umemaliza kazi
 
Back
Top Bottom