Storm shadow
Senior Member
- Jul 5, 2019
- 167
- 132
Ni mda sasa nnachoona Ni machawa wanakua wengi kupita kawaida na kauli mbiu yao ya "anaupiga mwingi" alaf sielewi Ni kwenye nini. Ni upuuzi wa kiwango cha flyover....ivi... Are they even real people!?Mama tunakuomba uache sasa kuwalipa hawa vijana wako kumchafua magufuli…Tayari wewe ni raisi na utachaguliwa tena 2025 Magufuli ameshafariki na wala hatofufuka kugombea
Alifungwa baada ya Ule moto wa shamba la mikorosho la ZZKIla kweli huyo mwamba Mmawia aliendaga wapi!!?
Kiongozi akiwa kichaa na wateule wake wanakuwa hivyo hivyo.Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.View attachment 2549998
Kiongozi hawezi kuachwa Hitler siunaona hili ni fundisho ukiwa kiongozi utende mema,si kila siku mnammwagia misifa hapa asiekuwa nayo...na aliekudanya kuna kupumzika huko ni nani???Muacheni Mzee wa Watu apumzike zake huko alipo.Kila binadamu ana yake,utazungumzia hawa waliofanya hadharanii ila kuna wanaofanya ufuska hatari huwaoni.
Ahahaahaa,alienda kuchomwa!?Alifungwa baada ya Ule moto wa shamba la mikorosho la ZZK
Kwanini mkuu?Huu uzi unaunganishwa muda si mrefu
Hivi uliishia darasa langapi?Kiongozi unafikia kuingia uwanjani kucheza kibao kata ili kumfurahisha mteule?
Mawaziri walifikia kuamini kuwa ili uendelee kuwa na nafasi yako basi lazima ufanye matendo ya hovyo ili mradi Jiwe afurahi.
Kama taifa tulikwama na hatukujua nini kesho yetu .
Mtazame kiongozi wa ngazi ya uwaziri anacheza mbele ya Jiwe ili alinde teuzi yake.View attachment 2549998
Walibadilika kutokana na mazingira waliyokutana nayo.Magufuli hakuwalea hao mawaziri na tabia zao, aliwakuta nazo, hakuwapeleka darasa lolote kuwafundisha hayo.
Inaonekana wewe huwa unalipwa kuwachafua viongozi wa upinzaniMama tunakuomba uache sasa kuwalipa hawa vijana wako kumchafua magufuli…Tayari wewe ni raisi na utachaguliwa tena 2025 Magufuli ameshafariki na wala hatofufuka kugombea tena.
Shujaa wa nyumbani kwaoMmawia tangu Mikorosho ya Zitto Kabwe aliyokuwa anailinda iungue moto akiwa Lindoni amekuwa anamchukia Sana Shujaa Magufuli
StupidMmawia halipwi ni chuki tu binafsi!
Umesema ukweliBrother huwezi kuufunika moshi kwa karai, uta toka tu kupitia pembeni .
Bora karai liondolewe moshi utoke wote then ndio moto usio na moshi uwake.
Hapo ndipo mema na mazuri ya Magufuli yatajulika bayana kwa kila mtu , na matumaini kila ulimi utakiri ya kua yule ndugu alikua ni kiongozi bora kwa nyakati na nyakati.
Ulishanikuta nawachafua viongozi wa upinzani?Inaonekana wewe huwa unalipwa kuwachafua viongozi wa upinzani
Jamaa alikuwa anakatika utadhani hana mifupaIla aliibambia
Walibadilika kutokana na mazingira waliyokutana nayo.
Leo hii wapo mawaziri waliokuwa kwenye utawala wa Jiwe lkn wapo makini kwenyw utawala wa mama.
Mtoto umleavyoWe jamaa ni mjinga sana
Kucheza acheze kangi hlf unamlaumu jiwe
Umeonaeeee?Kigwangala aliwahi kuwarusha watu wazima kichura chura mbele ya camera!