Hayo yote yangefanyika tena kwa uzuri zaidi kama tungekuwa na rais mwenye weledi. Shida ya Mwendazake kwa kila zuri alofanya alifanya baya zaidi upande mwingine.
 
Wanaombeza ambao walikuwa marais au ambao hawajawa marais?

Katika kulinganisha vitu, kanuni moja ya muhimu ni kulinganisha vitu vinavyolinganishika.

Don't compare apples to oranges.
 
Huyo jamaa unayemtetea kazima ndoto za vijana wengi sana Tanzania kuliko hata unavyofikiri , hakika kifo chake kimerudisha matumaini kwa vijana wengi wa nchi hiii najua hutokubaliana na mimi lakin ndyo ukweli huo.
Ukweli mchungu
 
Bro, they don't know what you mean, yaan jamaa aliua ndoto za vijana wengi mno, watu wakakimbilia umachinga ili ku survival
 
Bro, they don't know what you mean, yaan jamaa aliua ndoto za vijana wengi mno, watu wakakimbilia umachinga ili ku survival
Sasa hapa anajaribu kumbrush ilianokane yupo safi , machungu na mateso aliyoyasababisha kwa hawa vijana kwame hayawezi kufutika tisa kumi hawana pakuyasema haya ,hata wakipata nafasi hawana wakuwasikiliza basi wanayaifadhi tu moyoni , a lots of graduate wapo kitaa wanatukanwa , wanasemwa vibaya hii yote ni kutoka na huyo jamaa kuua mfumo mzuri wa elimu uliokuwepo na kutengeza omba omba ,bodaboda na malaya wenye Elimu .
 
Umpende na Goddess Lema sasa.
 
Moja kati ya kumbukumbu alizoacha ni hii hapa.
 
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
 
Alikuwa mkatoliki, atakuwa toharani sasa, kwa imani ya kikatoliki hata marehemu wanaweza kuombewa wasamehewe dhambi zao, basi nami nitamuombea asamehewe kama alikufa pasipo kutubu.

Kumsema vibaya naona sasa kumekuwa kama kilevi kwa wengine, wanaona kama vile wao watapata utakatifu kwa kumsema vibaya Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…