M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Siyo nyinyi ambao huwa mnalialia kwamba 'marehemu' aachwe apumzike?Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania...
Chadema amna Sera mpya nchi Ina shida kibao mnashindwa kuwatetea wanyonge kila siku mnamsema magufuliKesho nafanya sherehe kukumbuka kifo Cha ibilisi mnyonya damu.
Pole Agrey husikasirikie watu ulitoa mwenyewe, ila soon mtapata haki yenu anakuja mama wa Marekani kuwatetea wanaupinde wa mvua Relax.Niko njiani naenda Chato kulichapa viboko kaburi la mzilankende
Angalia hili punga nalo sasa Kwani Magu ndo alikwambia ujitest na chupa?Kesho ni sherehe kubwa. Kufa kwa ibilisi ni sherehe kubwa
Mwaka huu mtatukana kila aina ya tusi, ila yule shetani harudi tenaaAngalia hili punga nalo sasa Kwani Magu ndo alikwambia ujitest na chupa?
Hakuna unachojuaMagufuli ndio rais baada ya mwalimu Nyerere alieifanyia hii nchi mambo makubwa kuliko kiongozi yoyote.
Harudi kufanya nini ata sisi hatumtaki tena...Muda wake ushaisha aliyotufanyia yanatosha tushaandaa mwingine.Mwaka huu mtatukana kila aina ya tusi, ila yule shetani harudi tenaa
Usituchoshe na kichaa wako jpmKesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.
Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.
Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha JPM?