Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania...
Siyo nyinyi ambao huwa mnalialia kwamba 'marehemu' aachwe apumzike?

Nitaendelea kusherehekea uhuru unaotimiza miaka miwili hiyo kesho, the tyrant dictator is gone wow ..... .[emoji847][emoji847][emoji33][emoji33]
 
Huyu mtu mnavyozidi kumtaja na kumwandika humu kila siku walah mnaleta uchonganishi kwa viongoz wa hawamu hii hasa majizi.

WANACHADEMA na Sisi Wazalendo, Mwacheni mzee wetu apumzike kila mkitaja jina lake nahisi anastuka huko aliko mnamchosha.
 
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha JPM?
Usituchoshe na kichaa wako jpm
 
Back
Top Bottom