Dunia gani hiyo INAYOAZIMISHA hiyo kifo? Aisee?! Kumbe wendawazimu wapo wengi nchi hii?!Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania...
Mimi leo usikuKesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania...
[emoji23][emoji23][emoji23]kufa kama yeye[emoji3062]
Achaneni nae sasaHarudi kufanya nini ata sisi hatumtaki tena...Muda wake ushaisha aliyotufanyia yanatosha tushaandaa mwingine.
umbe ni Dunia??Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.
Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.
Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha JPM?
Waluguru bwana...kwahiyo mataa wewe hoii(jokes aside)Jana 9t mida ya usiku nimepita pale daraja jipya la wami,yale mataa yanavyowaka usiku utapenda...aisee yule mzee hakuwa mbinafsi wala mchoyo kwa kuijali na kuipendezesha nchi na wananchi wake.
Rip John
Mimi hiyo miaka miwili sitaazimisha nitaikodisha nipate senti ya K-Vant.Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.
Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.
Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha JPM?
Wafupi na washamba mnoWaluguru bwana...kwahiyo mataa wewe hoii(jokes aside)
Kashakufa hastuki.Huyu mtu mnavyozidi kumtaja na kumwandika humu kila siku walah mnaleta uchonganishi kwa viongoz wa hawamu hii hasa majizi,WANACHADEMA na Sisi Wazalendo ,Mwacheni mzee wetu apumzike kila mkitaja jina lake nahisi anastuka huko aliko mnamchosha.
Sio kwamba anaongoza malaika???Alikuwa mkatoliki, atakuwa toharani sasa, kwa imani ya kikatoliki hata marehemu wanaweza kuombewa wasamehewe dhambi zao, basi nami nitamuombea asamehewe kama alikufa pasipo kutubu.
Najua kukupiga mitiHakuna unachojua