Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania...
Mimi leo usiku
b6e850393b3d0fc4307d47ac09c517ab.jpg
 
Kesho ni ijumaa nyingine ya ibada ya njia ya msalaba.

Kama nitafanikiwa kwenda Chachi(manake Nina Safari nje ya mkoa sio confirmed )nitamwombea Toba.

Maana yake hakujua alokua anayatenda🙏ingekuwa kipindi kile nazipiga ulabu kwa wingi ningekesha club😅
 
K
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha JPM?
umbe ni Dunia??
 
Mimi hiyo miaka miwili sitaazimisha nitaikodisha nipate senti ya K-Vant.
 
Huyu mtu mnavyozidi kumtaja na kumwandika humu kila siku walah mnaleta uchonganishi kwa viongoz wa hawamu hii hasa majizi,WANACHADEMA na Sisi Wazalendo ,Mwacheni mzee wetu apumzike kila mkitaja jina lake nahisi anastuka huko aliko mnamchosha.
Kashakufa hastuki.

Yeye mwenyewe alipenda kutajwatajwa ndiyo maana kakubali kuwa mwanasiasa.

Angekuwa mtu wa kawaida tu hataki shobo na mtu tusingemjua wala kumtaja.
 
Back
Top Bottom