Jana 9t mida ya usiku nimepita pale daraja jipya la wami,yale mataa yanavyowaka usiku utapenda...aisee yule mzee hakuwa mbinafsi wala mchoyo kwa kuijali na kuipendezesha nchi na wananchi wake.

Rip John
Wachache wanajua hayo.
 
Kunywa wine 🍷 nyingi sana.
 
Nichambulie
Wewe ni sawa na yule mtu aliyeenda kwa mtafsiri ndoto.

Akamwambia nitafsirie ndoto yangu.

Sasa yule mtafsiri ndoto akasema sawa, niambie ndoto yako umeota nini?

Yule anayetaka ndoto yake itafsiriwe akagoma kusema kaota nini.

Akimtaka mtasiri ndoto kwanza amwambie ndoto gani kaota, kisha amtafsirie.

Mkuu mimi nimekuuliza unachoshangaa nini kitaje tukichambue kwa kina.

Na wewe unanijibu "Nichambulie"?

Umeelewa swali langu unanibeza tu au mgumu wa kuelewa hujaelewa swali langu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…