Ujinga ni mzigo,lkn hasahasa ujinga wa mtu maskini kama wewe,
Wajinga wakubwa nyie ambao mmeshindwa kuona maovu ya wazi wazi ya Magufuli na mismanagement ya hali ya juu ambayo mama sasa kwa miaka miwili anapambana kusahihisha.
 
Wewe unawaona wale waropokaji kina lissu ni wapinzani? Wale walikuwa wasaliti mkuu walikuwa kwenye payroll za muzungu
 
Weka ushuhuda hapa siyo chuki binafsi,waafrika kwani mnaakili kila wakwenu akiwabana msiibe anakuwa mbaya akiwaachia muibe bado ni mbaya,kmmake zenu,

Wazungu waliwafanya vibaya lakini mnaona ndiyo wema na kuwaamini na kukopa kwao.

Bora yeye aliyeiba na kuonesha walau kujali na kurejesha nidhamu kidogo.
 
Sijui akili zenu zipo vp! Mnashindwa kuona jinsi JPM alivyoleta ubaguzi kwa upendeleo wa kikabila? Akina Makonda walivyokuwa miungu watu! Sabaya ni kielelezo kizuri cha uongozi mbovu kabisa wa Magufuli. Hakika huyu kijana mhalifu aliyetesa na kuwanyang’anya watu mabilioni leo hii angekuwa waziri kama Magufuli angekuwepo. Asante kwa ukombozi kutoka Juu na pia kwa mama Sabaya anapata haki yake gerezani. Acheni ujinga watanzania!
 
Wajinga wakubwa nyie ambao mmeshindwa kuona maovu ya wazi wazi ya Magufuli na mismanagement ya hali ya juu ambayo mama sasa kwa miaka miwili anapambana kusahihisha.
Hakuna chauovu wowote, ni hisiatu za kipumbavu.

Huouovu mnao jaribu kumuhusishanao ingekuwa nikweli nawewe pia ingekuwa kwa beberu ulaya kama mzee wa Miga.
 
Robo haitoshi fika mia kabisa
 
Mungu akujalie haja ya moyo wako ila usiwe mkabila na kugawa watu kwa misingi ya kikanda ,kitaifa na kikabila ,uspendelee maene yenu peleka huduma kote kutokna na uhitaji
Mengine magufuli Ni rais Bora haswa period

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sisi hatujui tuambie na ukishindwa wewe hayawani tutakuita mwongo
 
Okay!Umepewa ofa ya kukaa "Milembe Hotels" kwa miezi mitatu ukihesabika kama mteja muaminifu.
 
Uchawa skuiz hadi kwa nalemu??
Kuwa sasa nani kakuzuia!!
 
watu wasiojulikana kuwafanya watanzania tuokotwe kwenye viroba mwaloni
 
Tuwekee uthibitisho, mkuu.
 
Tupige maombi ili wenye uzalendo wa JPM wapatikane wengi na hatimaye taifa liongozwe na mzalendo kama JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…