TUTAKUKUMBUKA DAIMA KIONGOZI WETU MPENDWA NA MTETEZI WA WANYONGE HAYATI RAIS DOCTOR JOHN POMBE MAGUFULI. MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA AMIN.




Your browser is not able to display this video.
 
He is our sons's legacy

Ametusaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Kafanya uhuni,ukatili na mauji kuliko marais wote
 
Haita tokea katika bara la Afrika Kiongozi aliye kaa Madarakani kwa muda wa miaka 5 na kuweza kuleta maendeleo kama hayo. Mungu amsamehe makosa yake ameweza ,Amedhubutu kwa vitendo kiongozi imara aliyeipenda nchi yake Tumempoteza Shujaa wetu barani Afrika Hayati Rais Doctor Magufuli Mungu apumzishe roho yake kwa amani amin.

 
R.I.P Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye.

R.I.P Masheikh wote waliotekwa misikitini huko mikoa ya kusini na kuuawa

Poleni sana wananchi walioporwa korosho zao

Na poleni sana wananchi wa Kimara mbezi mliovunjiwa nyumba huku mkiwa na zuio la mahakama ambalo Magufuli hakuliheshimu.
 
Jioneeni wenyewe Wakuu!

Hakuwahi kutokea mtu kama huyu, aisee JPM aligusa Maisha ya mnyonge yule wa chini Moja Kwa Moja kabisa.

Naomba Mungu anipe Angalau robo ya Roho ya JPM.

Huyu Mtu hapana, Eeehh, Kwakweli Mungu aliamua kuruhusu apumzike baada ya kazi kubwa aloifanya!
Your browser is not able to display this video.
 
Siku hizi hawataki mabango
Siku hizi hawataki kusikiliza watu, Eti Wana kikaratasi na kalamu wanaandika.
Wakishaondoka, kile kikaratasi kinatupwa!
Mitanzania unaiacha tu ife ipate taabu kwa sababu haijitambui. Nina uhakika leo Rais Samia akiamua akaze yataanza ohh dikiteta mara ohh maisha magumu. Komeni sana na bado
 
Alipinga ushoga kwa kumzuia Makonda aka bashite asipambane nao, pia alitatuta matatizo ya wananchi kwa kuwauwa, kuwateka, kuwapiga risasi, kuanzisha genge la wasiojulikana, kufungulia kesi watu za uhujumu uchumi na kupora uchaguzi
 
alipinga ushoga kwa kumzuia makonda aka bashite asipambane nao, pia alitatuta matatizo ya wananchi kwa kuwauwa,kuwateka,kuwapiga risas,kuanzisha genge la wasiojulikana,kufungulia kesi watu za uhujumu uchumi na kupora uchaguzi
Hilooo, uone aibuu, alimuua nani?
Hao wasojulikana wako wapi?
Uchaguzi gani alipora?
 
Jamaa alisikiliza Mana shida za rc or dc wanakuwa bize mno na simu ama michepuko kuliko shida za raia wanaowahudumia so aliamua kuwasadia watu papo kwa papo. Mara kigogo anamdhulumu kikongwe eneo lake anahonga wakubwa anapeta
JPM aliishia Maisha ya chini sanaaa sanaaaaa yaan Urais wake aliufanya kua nabhadhi ya mlala hoi.

Jamaa alikua mkweli sanaz aliyevaa Viatu vya watu
 
Yule alikuwa shetani tu kama shetani wengine. ila mbele ya Camera utafikiri mtu. Angewajali watu angewalipa hata fidia iliyokuwa halali kwa wakazi waubungo, kimara na mbezi waliobomolewa nyumba zao na kuachwa na vilio eti kisa hawajampigia huyo shetani kura, Kwa chuki zake akabomoa jengo la HQ tanesco Ubungo na hadi leo hakuna kitu kimefanyika, liuaji lile lililokuwa na chuki ya wazi kwa kila mtu wa kaskazini kisa tu waliendelea kabla ya kanda nyingine

Mimi namhesabu kama shetani aliyepewa Ikulu na Mungu akaamua kuangusha utawala wake
 
Sheria ni sheria hata kama ni ngumu.
Je, wakazi hao walijenga kwenye eneo ambalo ni la barabara? Au barabara iliwafata wao?
Sheria lazima ifuatwe, na ndicho alichosimamia JPM.
JPM hakuwa na roho ya kumuumiza mtu mnyonge!!
Mafisadi na majangili waliyaumiza sababu kwanza yaliiumiza nchi hii, lakini pia, yalitumia nguvu kubwa kutaka kumfanya ashindwe uchaguzi.

Hata kama ni mimi, ningewashughulikia tu.
 
Wale aliowalipa Mwanza Je? yeye alisema hadharani wa Mwanza watalipwa kwa sababu walimpigia kura. Aliiba na hela za waathirika wa tetemeko kule Bukoba nayo je? Jamaa alikuwa msanii sana ule upara itakuwa ni wa kurithi huko kuzimu
 
Sawa kamfufue.
Bado tu hamuamini kama shetani lenu lilishajifia
 
Saanane aliuliwa na CHADEMA, mwulize Dr Slaa. Mtu wa mwisho kumuona akiwa hai alikuwa ni mbowe hoteli ya Protea, hajatoa ripoti hadi leo kwa vile anajua. Azorygwanda aliuliwa na magaidi wa UAMSHO, aliajiriwa na magazeti ya Kenya akawa anapewa breakingnews na magaidi analipwa done nono. Magazeti ya Kenya yalipoona wapelelezi wa Polisi wanamkaribia wakawatonya magaidi wakamuua. Kanguye ni mhutu wa Burundi hili jambo analijua Zito Kabwe - essentially ni mauaji ya kikabila za Nchi jirani. Walioakufa Kibiti Lindi ni magaidi wa UAMSHO walikuwa wanaweka kambi majumbani na misikitini. Kuna wengine wengi CHADEMA Dr Slaa au Dr Mollel anawajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…