Sasa ma RC na DC wa kazi gani kama Rais anatatua migogoro ya mashamba?!
Jamaa alisikiliza Mana shida za rc or dc wanakuwa bize mno na simu ama michepuko kuliko shida za raia wanaowahudumia so aliamua kuwasadia watu papo kwa papo. Mara kigogo anamdhulumu kikongwe eneo lake anahonga wakubwa anapeta
 
alipinga ushoga kwa kumzuia makonda aka bashite asipambane nao, pia alitatuta matatizo ya wananchi kwa kuwauwa,kuwateka,kuwapiga risas,kuanzisha genge la wasiojulikana,kufungulia kesi watu za uhujumu uchumi na kupora uchaguzi
Bashite mwenyewe mambo poa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Rais hawezi kuongoza nchi kwa kusikiliza shida za kila mtu barabarani na kwenye mikutano. Rais anatakiwa ajishughulishe na mambo makubwa ya nchi kama sera na sheria za kitaifa na kimataifa na mikataba mikubwa mikubwa.
Siku hizi hawataki mabango

Siku hizi hawataki kusikiliza watu , Et Wana kikaratasi na kalamu wanaandika.

Wakishaondoka, kile kikaratasi kinatupwa !!
 
Matatizo gani alitatua wakati ndiyo yameongezeka? Unaweza kuorodhesha matatizo aliyotatua?
 
Sasa ma RC na DC wa kazi gani kama Rais anatatua migogoro ya mashamba?!
Wako bize na simu na michepuko yao. So Ile kuwatembelea wananchi na kuwauliza Wana shida gani aone anazoweza tatua yeye amekaa anachati,miradi yake,familia na michepuko na kupiga picha na kuingia social networks
 
Nenda kashitaki polisi wewe tufwaaa
 
Ingekuwa hivyo basi serikali ingempa Mbowe kesi ya Mauaji ya Ben Saanane
 
Kwa nini badala ya kuwatembela wananchi asiwabadilishe hao ma RC na ma DC ??
Akianza kupita kwa mamilioni ya raia kuwasilikiza matatizo yao si hatafanya kazi nyingine?!
Wako bize na simu na michepuko yao. So Ile kuwatembelea wananchi na kuwauliza Wana shida gani aone anazoweza tatua yeye amekaa anachati,miradi yake,familia na michepuko na kupiga picha na kuingia social networks
 
Kwa nini badala ya kuwatembela wananchi asiwabadilishe hao ma RC na ma DC ??
Akianza kupita kwa mamilioni ya raia kuwasilikiza matatizo yao si hatafanya kazi nyingine?!
Najua unataka Nini sema Kuna ishu zingine very critical na pia alivyokuwa anatatua shida so alitaka kuwaonyesha rc how to work.
Pia inatakiwa ijulikane kuwa hao watawala sie wananchi ndio mabosi zao. So mtu tunamchagua wenyewe baadaye tunaanza kumuogopa Ina leta Mana kweli.
 
Wale aliowalipa Mwanza Je? yeye alisema hadharani wa Mwanza watalipwa kwa sababu walimpigia kura. Aliiba na hela za waathirika wa tetemeko kule Bukoba nayo je? Jamaa alikuwa msanii sana ule upara itakuwa ni wa kurithi huko kuzimu
Niletee hiyo Clip alisema wa Mwanza watalupwa kwakua walimpa Kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…