Mkuu wangu, kule Jela ,wanafungwa hata wasio na hatia , inategemea tu nani anayekupeleka huko.

Motives za kuachiwa Kwa B na P, zilikua ni zipi Sasa Kwa JPM?.


Tule tutoto tulitotafutwa , najua Sasa hivi tumeshakua tukubwa na rohooo inavisuta.

..Babu Seya na Papii walikuwa na utetezi wa mawakili nguli hapa Tanzania ktk hatua zote mpaka mahakama ya Rufani. Hoja kwamba walionewa sidhani kama ina mashiko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu lol
 
Acha siasa ktk USHOGA,

Wana CDM wangapi waliohukumiwa vifungo JELA na kuachiwa baada ya kugundulika Hawa na HATIA?

Papi kocha ilikuwa case ya kupika.

CDM msipotoka kupinga USHOGA hadharani mtapotea,

LEMA: Sitakubali mtu auawe sababu ni shoga.

Sheria imesema mtu akibaka mnyama au kuingilia Mwanaume mwenzie kinyume na maumbile ahukumiwe kufungwa maisha au kuuawa.

LISU: Serikali hairuhusiwu kuingilia faragha ya watu wazima vyumbani mwao.

BIBLIA imetamka mashoga wauawe, msipokemea mambo hayo tunapoelekea patakuwa pabaya sana, wananchi watafuata Katiba ya Mbinguni kujichukulia SHERIA mkononi.
 
Hakuna kama JPM na ukitaka kujua, mtu katangulia mbele za haki, ila watu wanaunda makundi na makundi kupambana na mtu ambae hayupo
 
Na alikua mbinafsi sana aliamin kila kitu kina -revolve around himself
 
Ni wapi na lini lema alisema atakubali mtu auawe kwa sababu ni shoga

Na juzi juzi lisu juzi juzi alivyokemea ushoga hukuona, ccm ndo mnalelea ushoga ukienda sinza, kinondoni kuna mashoga kama wote alafu hakuna chochote serekali ya ccm mnawafanya alafu lawamu mnawapelekea chadema amka usingizini
 
Ingekuwa hivyo basi serikali ingempa Mbowe kesi ya Mauaji ya Ben Saanane
Hizi kesi huwa hazina muda wa expire date. Anaweza kabisa muda wowote akashitakiwa. Hata hii ya ugaidi haijafa, ushahidi wa tigopesa uko wazi kabisa aliwalipa makomando waenda Hai kumuua ole Sabaya. Bahati mbaya (nzuri?) wakakamatwa na Kamanda Jumanne wakinywa mbege Rau madukani, la sivyo wangenyongwa.
 


Serikali ya Magufuli ilipinga ushoga hadharani?
Ukweli ni kuwa serikali ya Magufuli ililinda haki za mashoga Tanzania.Mashoga wali stawi sana wkt wa utawala wa hovyo wa Magufuli.
Mnafurahisha sana nyie watu kuleta mada bila supportive data
 
Pia usisahau hata kaburi linaweza kupigwa pingu na mawe
 
Tunamshukuru sana Mungu kutuondolea zimu lile mjomba wako
 
Tunamshukuru sana Mungu kutuondolea zimu lile mjomba wako
Mko wengi. Watu wa Dodoma wana maoni tofauti. Na SGR watu wote kanda ya maziwa makuu wanashukuru, zamani ikiitwa the Dark Continent sasa imefumuka asante Magufuli. Bila kusahau Watanzania wa kawaida waliokuwa wameachwa nyuma lami, shule, hospitali za rufaa, airport, CRDB, tigopesa, zamani zote hizizilikuwa kwa makamanda wa CHADEMA pekee. Pia kuna waliotaka rule of law, sheria, taratibu na kanuni, zamani ilikuwa matajiri na makamanda wa CHADEMA hawaguswi. Wengi pia wanafurahia makanikia yetu sasa yanawaidi Watanzania wote si mawakili wa mabeberu na makamanda wao, sasa mtu anakula kwa jasho lake. Pia kuna maelfu kwamaelfu waliokuwa wanaibiwa kura zao au kwa ulaghai au kikwelikweli, wapiga kura wa Rombo, Arusha, Machame, Kirua Vunjo, Sanya, na miji mikubwa ya madiaspora Mbeya, Iringa, Ubungo, Mwanza, zamani waliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi inatawaliwa kwa Ukabila hadi Magu na Samia walipotoa Ilani nzuri makamanda wakuu hadi leo hawana ubunge hawatomsamehe marehemu. Of course hawa wote ni watu wazima, wamepokonywa to ge mdomoni, they are fighting back. But where! Hamtoweza.
 
Utaendelea kuabudu mizimu ya kolero
 
Tanzania bila jiwe imewezekana
 

..wewe ndiye unayeleta siasa kwenye suala la ushoga kwasababu umeingiza masuala ya vyama.

..Na suala hili nina mashaka wanaolisemasema hawana malengo ya kushughulika nalo, bali wameweka " mtego " wa kisiasa.

..Sheria za Tanzania zipo wazi zinakataza mambo ya ushoga na ulawiti. Kwa hiyo tujikite ktk sheria yetu na sio masuala ya vyama.

..Jambo lingine tujitazame kama jamii. Ukisoma mitandao na kauli za baadhi ya wachangiaji utaona kuna hali ya kukubali,na kusifia ufi.raji.

..Sio jambo la ajabu kusoma kijana akimtukana mwenzake kuwa " nitakupasua marinda..." Kwa msingi huo jamii yetu imejenga uvumilivu au uhalali kwa wa.firaji.

..Kwa maoni yangu jamii ikatae wa.firaji na wa.firwaji. Tukivumilia upande mmoja tutakwama.

..Ushauri wangu ni kwamba ili tufanikiwe ktk kuudhibiti ushoga ktk jamii yetu basi tuweke kando mambo ya siasa. Tuzungumze kama WATANZANIA.
 
Ndio,

KATIBA mpya ndo platform pekee ya kuzungumza wote kama Watanzania.

Vyama vya siasa vyenye mlengo wa kimagharibi vidhibitiwe, maadili, Imani na Tamaduni zetu zipinge mambo yote yenye kusababisha USHOGA ktk level mbalimbali.

Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo Si ktk USHOGA au Ufiraji. Jambo hili liwe JINAI.

AGANO la kale ktk BIBLIA watu Hawa waliouawa wote mtenda na mtendwa.
 
Tanzania bila jiwe imewezekana
Tusubirini. Makamanda mnataka IGP, Paroko, Mufti, Refa, na Kapteni wa Yanga wote wachaguliwe na Mangi kwa ukabila, wamesahau kabisa hapo zamani Waziri Mkuu alitoka kwao mara 4, akiwamo Naibu Waziri Mkuu, na Waziri wa Fedha mara 4, watendaji wote Taasisi nyeti za Kitaifa walitoka kwa makamanda, sasa hamtaki wengine wawe na Waziri Mkuu au hata Meneja wa TAZARA, nao wajenge kwao? Huo ukabila utawatafuna, Nyerere aliufuta kwa kutumia JKT, shule za Boarding, Kanisa na TANU, nyie mnataka kurudisha Ukabila tena? Unamkumbuka Jenerali Muhidin Kimario, Shujaa wa Nchi hii, alikuwa Katibu wa CCM Kusini Pemba akaitwa vitani kuigomboa Nji yake dhidi ya nduli Idi Amin aliyejitia anatetea Uislamu, yaani mnataka General Kimario awe Mangi wa Uswaa tu asitutumikie Watanzania wengine? Kama mkianza tena jiwe litarudi au yatatokea mawe zaidi, hamtoyaweza good night.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…