Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kutatua matatizo ya wanyonge hapo hapo ulikuwa ni USANII mtupu wa kuwa pumbaza walioitwa "wanyonge". Kukubali kuitwa mnyonge ni kujidhalilisha mwenyewe, kwani Mungu amemuumba binadamu akampa na akili. Hivyo ukiweka nguvu kidogo unaweza kupiga hatua kiuchumi.Jioneeni wenyewe Wakuu!
Hakuwahi kutokea mtu kama huyu, aisee JPM aligusa Maisha ya mnyonge yule wa chini Moja Kwa Moja kabisa.
Naomba Mungu anipe Angalau robo ya Roho ya JPM.
Huyu Mtu hapana, Eeehh, Kwakweli Mungu aliamua kuruhusu apumzike baada ya kazi kubwa aloifanya!
View attachment 2561435
Magufuli alikuwa mlevi wa MISIFA, wakati Samia ametanguliza kazi na matokeo kwanza